Hana lolote amashindwa kuiba ndio maana kakimbia, amsaidie fisadi Veda kudai madawati LOOSES hana hata hekima ya KUKU of all people anarudisha kadi yake kwa Veda, This gus is so stupid I wonder how he got to be cdm regional official, any way is good that he is now gone.
asante never kwa kutuweka sawa..
Katibu wa CHADEMA wa Mara Nyanza Sibitari amerejesha kadi rasmi jioni hii katika mkutano wa hadhara ulioandaliwa na aliyekuwa mbunge wa Musoma Mjini Vedasto Manyinyi. Sibitari aliyeongozana na vijana wengine 126 na bendera na Kadi za CHADEMA anadai kuwa kajiengua CHADEMA kwa sababu zifuatazo:
Anadai alipotea na sasa karudi nyumbani
- CHADEMA Kuendeshwa kama Taasisi na si chama
- Kushamiri kwa makundi ndani ya Chama hicho
- Mgogoro ulioanza toka nyakati za uteuzi wa viti maalumu hadi Ubunge
Hapa sasa mambo yanaanza kuiva,kwani cha ajbu nini katibu kuhama chadema kama shibuda alihama ccm kwa kusema ni chama kilichokosa muelekea akenda shinyanga chadema wakampa uenyekiti wa mkoa,akaibuka Mbowe akasema out! hizi ndo siasa za bongo ccm au chadema wote ni wehu tofauti ni tarehe za kuchanganyikiwa
Ameshavikwa gamba?:lol:
Safi sana, aondoke twataka chama kiongozwe na wanachama wadhati sio mamluki wa ccm!Katibu wa CHADEMA wa Mara Nyanza Sibitari amerejesha kadi rasmi jioni hii katika mkutano wa hadhara ulioandaliwa na aliyekuwa mbunge wa Musoma Mjini Vedasto Manyinyi. Sibitari aliyeongozana na vijana wengine 126 na bendera na Kadi za CHADEMA anadai kuwa kajiengua CHADEMA kwa sababu zifuatazo:
Anadai alipotea na sasa karudi nyumbani More UP DATE to follow
- CHADEMA Kuendeshwa kama Taasisi na si chama
- Kushamiri kwa makundi ndani ya Chama hicho
- Mgogoro ulioanza toka nyakati za uteuzi wa viti maalumu hadi Ubunge
ongea na wanaCDM walioko Mara ili upate upande wa pili wa habari hii..huyu mtu alishafukuwa, akafutwa na uanachama....mnaofikiri amehama mnamfanikishia malengo yake ya kuwa hadaa wanaMagamba kuwa amerudish kadi...hiyo kadi ilishakuwa deleted,yeye alibaki na karatasi tu