Aliyekuwa Askofu KKKT, Dkt. Edward Mwaikali ahamia Kanisa la KKAM, ugomvi wa mali waibuka

Umehama Kanisa na kutangaza kujiunga na Kanisa jipya la KKAM, Sasa Kwa nini anabadili Kanisa la KKKT Ruanda kuwa Kanisa la KKAM?
 
Huyu Edward Mwaikali na Mwambola iko siku Laana ya Mungu itawashukia kwa Uhalifu huu wanaofanya huko Mbeya. Kudanganya Waumini, Kukataa kuvuliwa Nydhifa walizopewa kwa Heshima na Kanisa. Yaani wanayofanya bora hata wasioamini. Eti tunamfuata kwa Ucha Mungu tulio uona ndani yake. Kaonewa. ANYWAY WACHA WAFU WAZIKE WAFU WAO.
Mnapambana mwilini kwa huduma ya rohoni.

Hakika malipo yenu hayapo mbali msipotubu
 
Umehama Kanisa na kutangaza kujiunga na Kanisa jipya la KKAM, Sasa Kwa nini anabadili Kanisa la KKKT Ruanda kuwa Kanisa la KKAM?
ni kwasababu kanisa lile lilijengwa kwa michango ya waumini aliohama nao. au pale hawana mchango? cha muhimu hapa wakalishwe wabatilishe kule kumwondolea uaskofu, wamuhamishe kanisa liendelee. kwani lazima awe mbeya? si wamhamishe tu mkoa na kanisa lao liendelee kama kawaida. ila kwenye mali hapo, pande zote zina sababu za msingi. wewe shoo uliyeko Kilimanjaro, ulichangia bei gani kujenga church lililoko mbeya? si waumini wale wale waliokuwa wanasali pale wametoa pesa zao kujenga, kwahiyo walijenga ili lile la nani?
 
Hujui ulichoo andika bora ukae kimyaaa....kanisa ni mali ya wanachi sio maliya askofu wala mchungaji...
Hana mamlaka ya kuamisha majengo yaliyo sajiliwa kwenye organization fluni kwenda kwenye organization anayo taka yeye...! Hata kikatiba halipo hata kisheria halipo
Kwa swala la kujenga mimi na uhakika sio asilimia 100% sadaka au hela walizo toa waumini wa huo usharika sizo zimejenga hilo kanisa.
Kuna wageni walio kuwa wametoka nnje ya huo usharika wamechangia kwa namna moja au nyingine.
 
Na bado iko Siku atakutana na Moto yeye na Mwambola. Huwezi kupotosha watu kwa tamaa zako halafu Mungu akuache. Ameshindwa kwenda kutubu aendelee na maisha mengine apotosha Waumini anawapeleka East Africa Lutheran Church. Muda utasema.
Mkuu huyu jamaa bado hajielewi.
Ile laana ya kuondolewa wakfu itamsumbua sana.
 
Ndo maana mnaambiwa kuwa Kanisa ni moja tu KATOLIKI TAKATIFU LA MITUME.
 
Makanisa ni wachumia tumbo
Ndomana mambo ya kwenda
Sana huko tulishaachana nayo

Ova
 
Na bado iko Siku atakutana na Moto yeye na Mwambola. Huwezi kupotosha watu kwa tamaa zako halafu Mungu akuache. Ameshindwa kwenda kutubu aendelee na maisha mengine apotosha Waumini anawapeleka East Africa Lutheran Church. Muda utasema.
Mambo yamekuwa magumu kwa Mwaikali.
 
ni kwasababu kanisa lile lilijengwa kwa michango ya waumini aliohama nao. au pale hawana mchango? cha muhimu hapa wakalishwe wabatilishe kule kumwondolea uaskofu, wamuhamishe kanisa liendelee. kwani lazima awe mbeya? si wamhamishe tu mkoa na kanisa lao liendelee kama kawaida. ila kwenye mali hapo, pande zote zina sababu za msingi. wewe shoo uliyeko Kilimanjaro, ulichangia bei gani kujenga church lililoko mbeya? si waumini wale wale waliokuwa wanasali pale wametoa pesa zao kujenga, kwahiyo walijenga ili lile la nani?
Ni wapi huko atakapokubaliwa Mwaikali?
 
Mnapambana mwilini kwa huduma ya rohoni.

Hakika malipo yenu hayapo mbali Duniani msipotubu.

ni kwasababu kanisa lile lilijengwa kwa michango ya waumini aliohama nao. au pale hawana mchango? cha muhimu hapa wakalishwe wabatilishe kule kumwondolea uaskofu, wamuhamishe kanisa liendelee. kwani lazima awe mbeya? si wamhamishe tu mkoa na kanisa lao liendelee kama kawaida. ila kwenye mali hapo, pande zote zina sababu za msingi. wewe shoo uliyeko Kilimanjaro, ulichangia bei gani kujenga church lililoko mbeya? si waumini wale wale waliokuwa wanasali pale wametoa pesa zao kujenga, kwahiyo walijenga ili lile la nani?
Shoo Kaingiaje hapa?
 
Hivi Mungu anahitaji makanisa au anahitaji watu wamuabudu katika roho na kweli? Viongozi wengi wa dini wameacha mahubiri yale ya kale ambayo tuliyasikia siku hizi ni kuhubiri utoaji na michango kila kukicha badala yake hizo fedha zinaleta malumbano ndani ya kanisa tofauti na zamani dini ilikuwa ni huduma.

Mungu anahitaji watu wajue neno waache kutenda maovu badala yake waliopewa mamlaka ya kutangaza hilo neno ndio wa kwanza kuleta migogoro sasa hapo hao viongozi wanamuabudu Mungu yupi?
 
Jamani hivi huyu Mwaikali amewahi kuwa Mwalimu?i mean lectural pale RUCO miaka fulani nikiwa nasoma pale nakumbuka kuona sura kama hii naomba mwenye kufahamu anijuze
 
Back
Top Bottom