Asante kwa taarifaHawana mambo mengi hao.
Mnapambana mwilini kwa huduma ya rohoni.Huyu Edward Mwaikali na Mwambola iko siku Laana ya Mungu itawashukia kwa Uhalifu huu wanaofanya huko Mbeya. Kudanganya Waumini, Kukataa kuvuliwa Nydhifa walizopewa kwa Heshima na Kanisa. Yaani wanayofanya bora hata wasioamini. Eti tunamfuata kwa Ucha Mungu tulio uona ndani yake. Kaonewa. ANYWAY WACHA WAFU WAZIKE WAFU WAO.
Sina wema wowote, angalau sijiongopei kufundisha watu wema.Kuwa na adabu usijione wewe ni mwema sana.
#MaendeleoHayanaChama
ni kwasababu kanisa lile lilijengwa kwa michango ya waumini aliohama nao. au pale hawana mchango? cha muhimu hapa wakalishwe wabatilishe kule kumwondolea uaskofu, wamuhamishe kanisa liendelee. kwani lazima awe mbeya? si wamhamishe tu mkoa na kanisa lao liendelee kama kawaida. ila kwenye mali hapo, pande zote zina sababu za msingi. wewe shoo uliyeko Kilimanjaro, ulichangia bei gani kujenga church lililoko mbeya? si waumini wale wale waliokuwa wanasali pale wametoa pesa zao kujenga, kwahiyo walijenga ili lile la nani?Umehama Kanisa na kutangaza kujiunga na Kanisa jipya la KKAM, Sasa Kwa nini anabadili Kanisa la KKKT Ruanda kuwa Kanisa la KKAM?
Hujui ulichoo andika bora ukae kimyaaa....kanisa ni mali ya wanachi sio maliya askofu wala mchungaji...ni kwasababu kanisa lile lilijengwa kwa michango ya waumini aliohama nao. au pale hawana mchango? cha muhimu hapa wakalishwe wabatilishe kule kumwondolea uaskofu, wamuhamishe kanisa liendelee. kwani lazima awe mbeya? si wamhamishe tu mkoa na kanisa lao liendelee kama kawaida. ila kwenye mali hapo, pande zote zina sababu za msingi. wewe shoo uliyeko Kilimanjaro, ulichangia bei gani kujenga church lililoko mbeya? si waumini wale wale waliokuwa wanasali pale wametoa pesa zao kujenga, kwahiyo walijenga ili lile la nani?
Mkuu huyu jamaa bado hajielewi.Na bado iko Siku atakutana na Moto yeye na Mwambola. Huwezi kupotosha watu kwa tamaa zako halafu Mungu akuache. Ameshindwa kwenda kutubu aendelee na maisha mengine apotosha Waumini anawapeleka East Africa Lutheran Church. Muda utasema.
Nilipokuwa mdogo nikisikia askofu naiona pepo hii hapa, kumbe takataka tu….. mafi ya mbusi.
Mambo yamekuwa magumu kwa Mwaikali.Na bado iko Siku atakutana na Moto yeye na Mwambola. Huwezi kupotosha watu kwa tamaa zako halafu Mungu akuache. Ameshindwa kwenda kutubu aendelee na maisha mengine apotosha Waumini anawapeleka East Africa Lutheran Church. Muda utasema.
Ni wapi huko atakapokubaliwa Mwaikali?ni kwasababu kanisa lile lilijengwa kwa michango ya waumini aliohama nao. au pale hawana mchango? cha muhimu hapa wakalishwe wabatilishe kule kumwondolea uaskofu, wamuhamishe kanisa liendelee. kwani lazima awe mbeya? si wamhamishe tu mkoa na kanisa lao liendelee kama kawaida. ila kwenye mali hapo, pande zote zina sababu za msingi. wewe shoo uliyeko Kilimanjaro, ulichangia bei gani kujenga church lililoko mbeya? si waumini wale wale waliokuwa wanasali pale wametoa pesa zao kujenga, kwahiyo walijenga ili lile la nani?
Mnapambana mwilini kwa huduma ya rohoni.
Hakika malipo yenu hayapo mbali Duniani msipotubu.
Shoo Kaingiaje hapa?ni kwasababu kanisa lile lilijengwa kwa michango ya waumini aliohama nao. au pale hawana mchango? cha muhimu hapa wakalishwe wabatilishe kule kumwondolea uaskofu, wamuhamishe kanisa liendelee. kwani lazima awe mbeya? si wamhamishe tu mkoa na kanisa lao liendelee kama kawaida. ila kwenye mali hapo, pande zote zina sababu za msingi. wewe shoo uliyeko Kilimanjaro, ulichangia bei gani kujenga church lililoko mbeya? si waumini wale wale waliokuwa wanasali pale wametoa pesa zao kujenga, kwahiyo walijenga ili lile la nani?
Kama Maaskofu wa Vatican wanavyopiga miti wavulanaNilipokuwa mdogo nikisikia askofu naiona pepo hii hapa, kumbe takataka tu….. mafi ya mbusi.