KANISA SIO MTU. Elewa. Ndio maana anayehukumu kanisa kwa makosa ya mtu mmoja mmoja tunamuona chizi tu.Kanisa hasa linakuwaje takatifu wakati kuna mapadri na maaskofu wanaolawiti watoto wadogo hadi Papa akaomba msamaha
Utakatifu ni wa mtu binafsi