Aliyeishuhudia ajali iliyoua dereva bodaboda Goba saa 1 usiku (8-6-2021), tufahamishe ilivyokuwa

Kwa jinsi Dereva ' Bodaboda ' alivyokuwa kaumia vibaya Kichwani na Kuburuzwa nilishindwa Kujizuia na Kusikitika sana tu na kujikuta nakimbia ( natoka Baru ) eneo la Tukio kwa Kiwewe.

Najua ( Huenda ) Tukio lile lilishuhudiwa na mwana JamiiForums mwingine hivyo naomba asimulie hali nzima ilivyokuwa. Ni Ajali iliyotokea Goba Saa 1 Usiku wa leo Jumanne.

Jamani Wadogo zetu na Kaka zetu mnaoendesha hizi ' Bodaboda ' hasa ' Kibiashara ' jioneeni Huruma jinsi mnavyokufa na kulemazwa hovyo kwa Ajali za Barabarani kwa Kuendesha kwa Nidhamu, kuwa Makini na kufuata sana Sheria. Taifa linawahitaji mno tu.
R n heaven
 
kuna dogo pia hapa mtaani leo nimeletewa daftari la michango,maskini ni mdogo sana hata 25 hajafika.amekutana na fuso ikapita nae!yaani nimesikitika kwa maelezo ya wenzie ni kwamba fuso ilimpanda kabisa miguuni hivyo mguu mmoja kuanzia kwenye paja umekatwa!!😣huo mwingine una afadhali
Umechanga ama
Malizia kabisa
 
Kwa jinsi Dereva ' Bodaboda ' alivyokuwa kaumia vibaya Kichwani na Kuburuzwa nilishindwa Kujizuia na Kusikitika sana tu na kujikuta nakimbia ( natoka Baru ) eneo la Tukio kwa Kiwewe.

Najua ( Huenda ) Tukio lile lilishuhudiwa na mwana JamiiForums mwingine hivyo naomba asimulie hali nzima ilivyokuwa. Ni Ajali iliyotokea Goba Saa 1 Usiku wa leo Jumanne.

Jamani Wadogo zetu na Kaka zetu mnaoendesha hizi ' Bodaboda ' hasa ' Kibiashara ' jioneeni Huruma jinsi mnavyokufa na kulemazwa hovyo kwa Ajali za Barabarani kwa Kuendesha kwa Nidhamu, kuwa Makini na kufuata sana Sheria. Taifa linawahitaji mno tu.
Pole kwa kiwewe, Mungu akupe utulivu wa nafsi
 
2014
Nilikuwa nazo 5 kmr MWISHO
Jun nikapigiwa simu mdogowako ANAKUJA DAR MSAIDIE PIKPIK moja aendeshe (mtotowamamdogo)

26 Sept napigiwa simu kapata ajali hatunae Tena...(3 months only)

NILIRUDI nikazikusanya nkatangaza Sana fb na jf thx that guy wa jf aliezichukua zote nilikuwa nikiona pik NAHISI israel anakuja

#mpakaleooomamamdgo haongei na mm
Nishidaa
hataaa sikukuu ukutane na mdugu unaogopa
Kiufupi kama huna haraka panda. Basi
Wengi hawana hata leseni
 
Amwombee yeye pikipiki, mwanaye afe huenda kwa uzembe wake, kisha aliyemwombea pikipiki akuchukie uliyekubali kutoa pikipiki? This is weird.
 
Pole kwa walioguswa, ila wale vijana wanavyoendesha vibaya Mungu atusamehe kwa tunayowatakia, nina orodha ndefu ya ndugu, rafiki na jamaa waliogongwa au kung'olewa side mirrors na hao boda isiyoisha ikiwepo yangu ya kimaskini, tatizo nafikiri ni zile bangi na pombe za haraka haraka vijiweni, bado matusi watakayokushambulia wakikataa kata hawana makosa, ni tabu kabisa aise
 
2014
Nilikuwa nazo 5 kmr MWISHO
Jun nikapigiwa simu mdogowako ANAKUJA DAR MSAIDIE PIKPIK moja aendeshe (mtotowamamdogo)

26 Sept napigiwa simu kapata ajali hatunae Tena...(3 months only)

NILIRUDI nikazikusanya nkatangaza Sana fb na jf thx that guy wa jf aliezichukua zote nilikuwa nikiona pik NAHISI israel anakuja

#mpakaleooomamamdgo haongei na mm
Nishidaa

Kiufupi kama huna haraka panda. Basi
Wengi hawana hata leseni
Ukirudi Bush watakuambia umemtoa kafara wajinga sana, Mi ndio mana ukitoa ile inner circle ya baba, Mama na biological siblings basi the rest nimeji distance nao haswa
 
Hata siku 2 hazijapita tumezika boda boda mtaani....KIKUBWA NI HARAKA HARAKA ,hii tabia ipo sana halafu huko anakowahi unakuta anaenda kijiweni kupark ...majuzi tulikuwa tunavuka zebra ,so tukawa tunasubiri magari yapite yaan Boda Boda alivovuka kwa speed wote tukabaki tunashangaa..halafu anachowahia hamna...

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Huku kmr mwendokasi zinawanyoshaa yaa Ni hakuna SIJUI mguuu Wala mkono
Likiwapitia

#Rip inawahusuuu awapindi wanakupa wanakukanyaga mengine baadae..........

Zamanii nilihisi nisilaha za freemasson kupunguza watu kumbe ujinga waoooooooo
 
Kwa uandishi wako huwa nadhani wewe ni mwamba,jemedari na jasiri sana. Ila kwa hilo la kutoka baru/nduki nakuvua vyeo.
Msiwe wepesi wa kuhukumu, kuna watu wana roho nyepesi mno hawawez kabisa kuangalia ajali hasa ya mtu aliyeumia kama hivyo mana inawaathiri kisaikolojia.Mtu unaweza kukuta mwezi mzima na zaidi hilo tukio la ajali halijamtoka kichwani na linamdisturb vibaya

Sent from my SM-G900I using JamiiForums mobile app
 
hebu funguka kidogo gaba ipi hio?
Siyo Mzoefu sana wa hilo eneo kwani nilikuwa naenda ' Kumbandua ' Demu Mmoja na baada ya Tukio hilo hata ' Nyege ' zenyewe nazo zilinikimbia Mwilini na nikageuza nilipotoka.

Nadhani panaitwa sijui kwa Mpemba ambapo kutoka hapo na ile Kona ya Kuelekea Massana Hospital siyo mbali na pia kuna ATM ya CRDB na panaonekana pia ni ' Ushuani ' fulani hivi.
 
Back
Top Bottom