Aliyebuni pombe ana akili sana

Aliyebuni pombe ana akili sana

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Posts
36,508
Reaction score
45,127
Ndiyo sehemu pekee hata maskini wa kipato cha chini na fukara kama mimi anaweza ku enjoy starehe ya muda na akasahau matatizo yake...akatabasamu tena.

Nilikuwa na ka elfu kumi, nimepiga light 6 hela imekata nimebakiwa na na buku tu maana bia ni buku jero hapa... sasa muda huu nakwenda kwa wakala nikatoe ka akiba kangu.. kabla hawajafunga.

Nani anaijua kesho bwana bia ni tamu sana na maisha ni mafupi.

Mi ni maskini jeuri, sipendi ushauri wa kijinga.

Bia ni taam aisee!! Nachokipenda inakusahaulisha ujinga ujinga unaendelea nchini...!! hata kama ni kwa muda tu sijali...!!
 
Ndiyo sehemu pekee hata maskini wa kipato cha chini na fukara kama mimi anaweza ku enjoy starehe ya muda na akasahau matatizo yake...akatabasamu tena...

Nilikuwa na ka elfu kumi, nimepiga light 6 hela imekata nimebakiwa na na buku tu maana bia ni buku jero hapa... sasa muda huu nakwenda kwa wakala nikatoe ka akiba kangu.. kabla hawajafunga.

Nani anaijua kesho bwana....bia ni tamu sana...na maisha ni mafupi...

Mi ni maskini jeuri, sipendi ushauri wa kijinga...

Bia ni taam aisee!! Nachokipenda inakusahaulisha ujinga ujinga unaendelea...!! hata ni kwa muda sijali...!!
Uko pande zipi kiongozi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora kutumia mkuu, Corona yenyewe inakaribia kupiga hodi,

😀😀😀😀 na wamewapokea wale watalii kutoka China pale airport JKNIA wakati nchi nyingine zinazojari wananchi wake hawapokei watu toka katika nchi zilizoathirika na hili dubwasha called CONV.
Muhudumu ongeza.....
 
Hata ulivyoandika tu yaonyesha tayari kichwa ipo resi.
 
Pombe ni bonge la kinywaji apa nipo faru john ya pili naona net inakata na kurudi.
We utazima kabla saa tano haijafika, kuwa makini mkuu. Tatizo la faru John inazimisha popote pale tofauti na beer.
 
Ndiyo sehemu pekee hata maskini wa kipato cha chini na fukara kama mimi anaweza ku enjoy starehe ya muda na akasahau matatizo yake...akatabasamu tena...

Nilikuwa na ka elfu kumi, nimepiga light 6 hela imekata nimebakiwa na na buku tu maana bia ni buku jero hapa... sasa muda huu nakwenda kwa wakala nikatoe ka akiba kangu.. kabla hawajafunga.

Nani anaijua kesho bwana....bia ni tamu sana...na maisha ni mafupi...

Mi ni maskini jeuri, sipendi ushauri wa kijinga...

Bia ni taam aisee!! Nachokipenda inakusahaulisha ujinga ujinga unaendelea...!! hata ni kwa muda sijali...!!
Nina safari nne kichwani ya tano ipo mezani,kuna kabaa medi kamoja apa Dar Safari nishaanza kumuona mzuri namuita ita kila muda,hii si dalili njema ngoja niende home sasa....pombe tam sana jamani
 
Yani hapa niko na kinyaji kila nikinywa naskilizia kabisa vitu vinavyoungua huko ndani, lakin ntafanyaje na hali ya uchumi imebana
Ha ha ha konyagi baba huwa ina tabia ya kukata mawasiliano kati ya kichwa na kiwiliwili kuwa makini sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom