Nimekuelewa vizuri mwaya, na wala I can't blame you for what you did, as tunatofautiana sana jinsi ya kudeal na maumivu yetu. Ingawa sometimes njia tunazozitumia kudeal na maumivu yetu huwa zinatuumiza zaidi kuliko kuleta furaha ndo maana tukashauri mtu kusamehe. It's ok huna kinyongo na huyo dada, Ila you have given up on love kutokana na kilichokukuta. Sio kitu kizuri honestly, achilia hiyo resentment au mawazo hasi, usifanye moyo wako kuwa mgumu. Fungua moyo wako uone what love can offer you Coz you never know what's around the corner. Chukulia tu kile Kilichokutokea kama ajali, kama somo, kama step tu ya kukufanya uione dunia kwa upande mwingine na kuwa mtu bora zaidi. Every pain has something beauty in it, it was a blessing in disguise. Huyo dada asingekuzingua kuna vitu Leo hii ungekuwa huna au usingepitia situations fulani nzuri nzuri etc. Love is such a beautiful thing, especially ukimpata wa "kubalace/ kuonana" naye. But again kama hujisikii Kuwa kwenye mahusiano kwa sasa, basi relax tu, endelea kuenjoy maisha