Alinisaliti, nilichomfanyia hatokaa anisahau daima

Alinisaliti, nilichomfanyia hatokaa anisahau daima

Yani umemla rinda tu na kumuacha, dah yani wewe una roho nzuri sana kaka, huku Kitaa kuna Dada alikula laki mbili zangu taslim na kulete fyokofyoko nlichomfanya yani mpaka shetani aliona aibu.
 
Dah story tamu ila hongera kwakujua kupenda nakuacha ndio moyo wakiume huo ndugu hongera
 
Hawaridhiki kwa kuwa wanaume wasioridhika wanahangaika usiku kucha kuwasumbua.
E.g. mimi nina jamaa anataka kumnyang'anya mke wake Rav 4 anipe mimi. Mimi na yeye nani hajaridhika?
Basi ww utakuwa mrembo hatari mpaka unataka kuhongwa rav4?
 
Mrs wa mtu. Ningekuwa single mum angenihonga elfu 50. In other words kutoridhika kwa wanaume. Fyuuuu!!!
Kwani elfu 50 sio hela? by the way utakuwa unalipa ndio maana jamaa anafika bei bila kujiuliza, vp lakini ushampa au bado
 
Yote yamefanyika kutafuta peace of mind.Peace of mind ni kitu cha gharama kuliko vyote ulimwengu.Get it..respect it..it will save you forever.
 
Back
Top Bottom