Alinisaliti, nilichomfanyia hatokaa anisahau daima

Alinisaliti, nilichomfanyia hatokaa anisahau daima

"..binti asingekuzingua, kuna vitu ungekosa.."

SENSATIONAL

Everything Happens With some Reasons

Lets take Advantage of Anything Attacking Us In Negative way Holding Positive Attitude In Our Mind to Neutralize The Problem..
Kwa kweli, kuna sehemu unapita au ulikosea palikuumiza mno, lakini ukiangalia leo, unaona kabisa nisingepita ile wrong path, possibly Leo nisingekuwa hapa nilipo. We should be grateful always, even for every pain and hurt we experience
 
Mkuu BAK nakuelewa sana, am not proud of what I did but at least it gave me peace at the time,I was a mess.
Tunatofautiana na kila MTU ana handle matatizo anavyoweza, naheshimu mawazo yako, i wouldn't mind if you handled the situation some other way,but that's you!!!!and who knows,maybe you are a wise man than me!
napenda unavyojibu,hutoi jasho na unajishusha.
 
chige ni mtu poa sana, usiipoteze hiyo bahati.
Hebu kwendraaaa....mi sitafuti mtu JF hata kama mambo yangu yawe magumu kiasi gani!?!?


I take JF kama sehemu yakujiburudisha na kukomfoti watu wenye uthubutu wa kushare matatizo yao na kufili peini ishu zao .. Naipenda JF kuinjoi tu my dears! Nothing else!
 
Ila Mkuu inabidi sasa uendelee na maisha yako. Inabidi uanze kufikiria kupenda tena na hivyo kumkaribisha binti mwingine kwenye maisha yako. Binti ambaye atakuwa tayari kuwapenda wanao bila ya kuwabagua kwa namna yoyote ile, it is not too late Mkuu to love and be loved again.
bora umelitambua ilo BAK endelea kumshauri akilegeza msimamo wake,nitakuwepo kwa ajili yake.
 
Sawa Tunzi nadhani muhusika atakusoma hapa, kila la heri.

bora umelitambua ilo BAK endelea kumshauri akilegeza msimamo wake,nitakuwepo kwa ajili yake.
 
Let's agree to disagree miss nemo, maybe am lucky she ain't you(not that I'd tattle about any reaction she'd have gave me)
Hivi mkuu kule kazini hukumfanyia figisu maanake hata kazi ulimtafutia ww??
 
Hebu kwendraaaa....mi sitafuti mtu JF hata kama mambo yangu yawe magumu kiasi gani!?!?


I take JF kama sehemu yakujiburudisha na kukomfoti watu wenye uthubutu wa kushare matatizo yao na kufili peini ishu zao .. Naipenda JF kuinjoi tu my dears! Nothing else!
Aiseee!!!
 
haya ila wanaume mkisalitiwa mnaumia sana teh pole though
Tunaumia sana kwa sababu sisi ni viongozi. Sisi ni kichwa cha nyumba. Ndiyo maana siku zote anayerubuniwa ni mwanamke. Kama hii story, nwanamke hakuonekana kuwa na lengo na jamaa, ila alitafuta kuufurahisha moyo tu.. Huwezi kuwa na mipango ya harusi huku unabanjua maisha na maproo., pengine hata siku ya ndoa angeweza kusema HAPANA na kumdhalilisha jamaa.
 
Pole mkuu story yako imenigusa sana kwani hata mimi hisia zimepoteaga nipo nipo tu aagghhhh
 
Mhhhh. Waaminifu wanaambulia wasio wainifu. Kwenye MITI hakuna wajenzi. Tingedondokewa na Bahati hizi.
 
'kuruka ukuta' binafsi sijakuelewa hapa ni fumbo ambalo nahisi hisi ni hiki mara kile.

BASI NISHAELEWA
 
Back
Top Bottom