mzalendo Wa mANyANyA
Senior Member
- Nov 3, 2016
- 111
- 44
hiii kama inaendana na yangu sema yangu bado mbichiiii mkuuuu pole sanaa
Pia kama yangu... ila yangu bado naendelea kuzipika scenes nyinginehiii kama inaendana na yangu sema yangu bado mbichiiii mkuuuu pole sanaa
Mkuu naomba kueleweka,sina kinyongo tena na nlishayasahau, ila kwa sasa sihitaji awe kwenye maisha yangu kwa namna yoyote ile ndo maana nilifuta hata mawasiliano aliyonipa hio jumamosi, lakini tukikutana kwa bahati mbaya siwezi kumnyima a hug or a five minute chat. That's all I can offer, hii inaonyesha maturity!! Mimi ni MTU mzima na sidhani kama itakua njia sahihi 'kumkaushia' MTU ninayefahamiana nae no matter the circumstances!!! But then again,that's just me!Duh.., sasa ulienda kumpa Hi ili iweje?
Ungemkaushia tu ingekuwa poa zaidi!
Haha yani Acha tu, kuscroll shida mweeusiombe ukutane na ukurasa wenye watu hata 5 waliomjibu 2017 kwa kumQuote hiyo story yake..
Hapo ndio utajua kuScroll ni raha..![]()
smtimez hadi DizzyHaha yani Acha tu, kuscroll shida mwee
Kutomtosheleza pia inawezekana mkuu(sadly am too old to brag about sexual capabilities)Sasa wewe ulimpataje wenzako washindwe?
Hakuna usaliti hapo. Wote nyie mlikuwa waasherati, kwani mlikuwa mmeoana?
Halafu ujuwe una uhaba wa nguvu za kiume ndiyo maana akawa analiwa, hukumtosheleza.
Kuna watu sio waelewa kweli yaani, sijui kwann mtu anaquote uzi mreeeefu, kwani akicomment tu comment haionekani!!!usiombe ukutane na ukurasa wenye watu hata 5 waliomjibu 2017 kwa kumQuote hiyo story yake..
Hapo ndio utajua kuScroll ni raha..![]()
Yani wanakera basi tu.. Sanyingine najaribu kufuta nikidhani niko wtspKuna watu sio waelewa kweli yaani, sijui kwann mtu anaquote uzi mreeeefu, kwani akicomment tu comment haionekani!!!
anora its better na ww utushirikishe wht happened to u? it seem now days relationship ni changamoto saaaaana,Sometimes you have to give people the taste of their own medicine, im not blaming you for a revenge coz i know at least you feel released. Hata huyo amenenepa sababu ya stress, stress zinanenepesha so you won. Ila you guys jaribuni kuvaa kiatu cha mwanamke ambae umemsaliti halafu hana uwezo wa kukufanya chochote, yale maumivu ya ndani kwa ndani you can even rum mad, it real pains! Pole sana Mkuu! So what are your plans for the future? Are you still single or with someone? I think we can make a good coupleas i have passed on the same situations and experienced enough! These r/ships has no formula, use your head but take your heart with you.
![]()
Yani wanakera basi tu.. Sanyingine najaribu kufuta nikidhani niko wtsp