Haha ipo tangia mdamrefuu..lol
Vp mkuu mbona hata Michael Jackson alisampo beat ya bill ocean na ngomaa ika hit kuliko ya Bill ocean...
Anafanya poa... na aba sauti nzuri pia.
TID naona anamponda Ali kiba eti nyimbo mbaya anaipa miezi mitatu itakua imechuja balaa
Kiboko yake diamond platinum.
Kiboko yake diamond platinum.
Namuunga mkono TID, wimbo wa kawaida sana... Nachopingana nae ni muda alioupa, big g kama hizi mimi uwa nazipa wiki tatu hii ikienda sana wiki 5.
Hii waione wale wenye makengeza wasioona mazuri ya Kiba kama hili la kuvunja record ndani ya lisaa limoja tu tokea iwe released! Mimi nitapakua kesho leo itazingua tu maana ndio habari ya mujini.