Alikiba Chekecha Cheketua (Here is the song)

Chai n siii origin yake sio west africa hivyo vibwagizo michael jackson ameanza kuvitumia kitambo tu.....

Halaf kingine kuimba eti muziki kwa asili ya kitanzania havikufanyi uwe msanii mkubwa maana hata best naso anaimba original bongo fleva..

Tusisahau kuangalia top 10 ya trace music Africa...kuna kitu fulani amazing

Kwani trace afrika top 10 kuna nini maana mie nilitazama mpaka tisa bahati haikuwa yangu luku ikaniishia yoyote aliyetazama kipindi chote anijuze jamani
 
Kwani trace afrika top 10 kuna nini maana mie nilitazama mpaka tisa bahati haikuwa yangu luku ikaniishia yoyote aliyetazama kipindi chote anijuze jamani

Ntampata wapi by Diamond umeshika namba moja kwenye trace afrika top ten.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom