Alikiba Chekecha Cheketua (Here is the song)

Alikiba Chekecha Cheketua (Here is the song)

Plz ifanye ringtone kabisaaa.. hiyo ngoma utakua umeitendea hakiii lol

Hilo sio la kuomba wala kuuliza kabisa, ringtone inanihusu.Vipi wameshaweka mikito nikapakue nimsapoti Kiba? Sitaki kurushiwa whatsApp ati....
 
Mimi sina hata la kuongea. ..kiba anawafundisha vijana mziki kwa kufanya mziki
 
Anafanya poa... na aba sauti nzuri pia.

TID naona anamponda Ali kiba eti nyimbo mbaya anaipa miezi mitatu itakua imechuja balaa
 
Mkuu!!Sasa sisi ambao hatujaisikia unataka tutoe maoni gani hapa?Ebu weka tuisikie nasi tupate kuchangia
 
Hilo sio la kuomba wala kuuliza kabisa, ringtone inanihusu.Vipi wameshaweka mikito nikapakue nimsapoti Kiba? Sitaki kurushiwa whatsApp ati....

Haha ipo tangia mdamrefuu..lol
 

Attachments

  • 1425061686184.jpg
    1425061686184.jpg
    40.1 KB · Views: 401
#Nimeusikiliza kwakweli uko level nyingine kabisa Kiba hapo ame prove kwamba yeye ni mwamba na wengine kama Doommo wanafuata big up kijana.. Lmfao🙂
 
Me mwenyewe nashangaa hao hapo juu wanajadiliana kitu hewa,kipo kichwani mwao then wanakijadili utadhani kipo kwenye thread,utupieni hapa tuuskie

Tunajadili kitu ambacho tumeshakisikia, wewe kama bado kivyakovyako usigeneralize.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom