Alichonifanya huyu dada, sintokaa nisahau

Alichonifanya huyu dada, sintokaa nisahau

nilitaka niliongee hili ila sasa naogopa kusema ukweli

Hilo ndo kosa ambalo wanawake huwa hamjitambui na matokeo yake huwa tunaazima magari na mkisha tugawia mbumye, tunasepa.
Ivi demu wa Idrisa alijuaga Idrisa atashinda ndo akamkubali!
Vp wale waliompigaga chini kwa kumwona anaishi maisha duni !!
 
Hilo ndo kosa ambalo wanawake huwa hamjitambui na matokeo yake huwa tunaazima magari na mkisha tugawia mbumye, tunasepa.
Ivi demu wa Idrisa alijuaga Idrisa atashinda ndo akamkubali!
Vp wale waliompigaga chini kwa kumwona anaishi maisha duni !!

utagawaje mbunye kwa mtu kabla hujamjua vyema
by the way nadhani huo ndo mtazamo wa huyo dada mimi hapana kwa kweli
gari shingap???
kuna kitu ambacho nakiangalia kwa mwanaume kama anacho tutakula hata nyasi..magari nimeyazoea nimezaliwa nimeyakuta...ulimbukeni unawatesa wadada

sasa sisi tuna hadi compain havest machine...ile ya ngano
na matrecta na magombe
NJOO NA KISTAKETI CHAKO NAKUA NAKUANGALIA TU
MAANA NGOMBE 5 TU ushakanunua
 
Embu nipe experience, nakiri kua mimi ni kijana, je, wewe ulimpataje mke wako? Je, hukupoteza hata tone la muda? Pia je, uliwapateje marafiki ulionao? Mbona ndugu unankatsha tamaa hvo? Nb! Kumbuka wenye wako na hela nyingi wamepata kwa networking KikulachoChako

Achana nao bwana watu wengine hum ndani wanafiki sana....utadhani wao huwa hawafukuzii mabinti wala hawatembelei marafiki zao
 
Last edited by a moderator:
Sikiliza nikupe password ya kuondoa tatizo hilo.... We ukiwa unaenda usimpe update kama hii " ndio nimepanda daladala la mwenge nakuja" au hii " ndo nachukua bodaboda hapa" ... Hapo kwa watoto wa mjini utalizwa sana... Wewe hata km ni kweli upo kwa daladala au boda, basi sema hivi " ndio nadraivu hapa kuja huko, nikupiki wapi?" Hapo utawini tofauti na hapo baba utaendelea kuja na thredi kama hii hii kila wakati.... Kila la kheri!
 
Sithani, kwani ni zaidi ya mara 3 akiniona na amekua akinichangamkia sana Mtama kwa watoto
....

Taarifa yako inachanganya..mwanzo ulisema hamjawahi kuonana...???? Mbezi mpaka Feri?
 
Yani umechukia wadada wote sababu ya huyo dada mmoja?
Itakuwa na wewe uliwahi kudanganya huko nyuma....yanakurudia sasa.
What goes around...comes around...
 
kiherehere tu na wewe,umefahamiana na mtu siku moja ya pili muonane??? doko!
 
Hiyo date ya ferry kwanza failure ya kwanza, pili time ulitakiwa uoneshe initiative mwenyewe...pull up ur game bado sana, utakaa masaa 7 siku nyingine. Mvuto inaweza kuwa hoja pia kwa bi. dada kwa mtizamo wake, wazungu wanasema 'first impression matters.'
 
Italipa tu.Kuwa mvumilivu. Mimi niliwekwa guard miaka kadha iliyopita huko Levolosi (makao mapya)kuanzia saa 2 hadi saa 7 ndipo mlinzi mmoja(akwi) akanitolea uvivu na kunishauri niende nyumbani kwani nimeachwa solemba. Sikukata tamaa kwani aliyeniacha solemba leo ni wife. No pain no gain.Mwindaji hakatishwi tamaa na setbacks ndogo ndogo.

Mwindaji gani anayeenda kuwinda nyati poli la mbali wakati karibu yake wapo tele?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom