Alichonifanya huyu dada, sintokaa nisahau

Alichonifanya huyu dada, sintokaa nisahau

Inawezekana alifia adi apo ulipo akakutazama viatu ulivyo vaa, simu unayotumia, ulivyo kisha akaona bora apate hasara ya nauli ya kurudi kwako kuliko kuonana na wewe... baadhi ya wanawake hawana utu mkuu achana nae huku ukijipanga vizuri kumchukua Preta...
 
Aaaaaaa asikusumbue huyo achana naye. Huyo hatakufaa kwa lolote. Nakushauri kwa mujibu wa maelezo yako huyu atakusumbua. Futa mpaka namba yake ya simu kwenye simu yako

Dunia ina watu wa aina nyingi, usiwe unazama kwa mtu kama huyu. Huyu ni shetani wa maisha yako. Unajuaje hata haya Mungu ameyaruhusu ili akuepushe kitu?

Piga magoti uombe Mungu akupe mke wa dhati na siyo kuparamia vicheche hovyo hovyo

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaahhaha.....huyu kakuona mkuu hujamvutia ,,,,poleee
 
Wadada badilikeni jamani, uongo wenu utawamaliza. Kuna mdada tumefahamiana siku 1 baada ya hapo tukawa tunawasiliana, hi leo tukakubaliana kuonana maeneo ya Feri-Kigamboni(alipenda hapo mana anakaa Kibada-kigamboni pia lengo kuu ilikua just kufahamiana). Nikamuambia aamue muda gani ni convinience kwake itakayo faa kuonana, hatimaye ka sugest kua ni saa 12:30 jioni. Ilipofka saa kumi jioni nikanza safari nikitokea Mbezi, nkafka posta, nkapanda Bodaboda mpaka Fery, nikavuka(muda wote nampa update ya safari). Nlipoanza kuvuka aka niupdate kua naye ndio anatoka home, bada ya kuvuka nkanza kumsubiria mpaka saa moja kamili, ikabdi nimpgia akasema amefka geti jeusi(kituoa jirani na feri), ikafka saa mbili dakika 5, nkapgia tena akasema amefka na yupo karbu na standi ya daladala. Nkamwambia nami nipo hapo, akakata simu, bada ya dak 5, akanitext "please wait kidogo" saa mbili na 30 nkapga simu akaniambia hvi "SAMAHANI NISAMEHE NIMESHNDWA KUJA". In short imeniuma sana na wadada kweli mmenikatsha tamaa na nimewachukia sana, nimeteseka sana na daladala muda huu ndio nafka geto! kibaya zaidi ni mara ya pili hili likinitokea! Wadada! wadada! wadada!

Yaan Muda unaoupoteza na ulioupoteza kufuatilia pus mpk kigamboni ndo Muda nawaoutumia kina Mama Tibaijuka kupigia kama dili za Bil1.6
 
Tuliza mtori,nyama ziko chini! Mdada anakupima temper/uvumilivu na Uanaume wako,mpigie simu uongee kiuanaume sio kulia lia...umewekwa kwenye mizani!!! adios

Huyu bado mvulana....mwanaume hawezi kugive up kitoto hivyo...
 
Mi nilijua wangekutana Karambezi........au basi hata sehemu yenye ice cream.......ferry......?.......aisee......dada kakuona umekaa kimjomba sana ndugu yangu Makaura........

Hahahaa walau ajibane ampeleke mtoto mzuri smooch akalambe lambe anakubali feri hii kali
 
Last edited by a moderator:
Hizo issue za kugandishwa zipo..lakin inategemea na swag zako..kama mtoto anajua kuonana na wewe atapata good time..atajiandaa toka asubuh na utamkuta yeye kashafika
 
Pole sana kaka.. mimi nilituma hela ya saluni.. nikanunua tiketi mbili za sinema mtu hakutokea
 
Vijana mna kazi kweli kweli. Siku nyinyine mwambie akutuate yeye. Tena una muapdate uko na bod boda, hata uongo unawashinda?
First day demu haambiwi ukweli kaka.
 
Huyu bado mvulana....mwanaume hawezi kugive up kitoto hivyo...

true! Tena unamwekea mstari,yaani kama akisumbua sanaaa watu wanamega wanasepa,ila ikiwa kwa kiwango cha decent women unaweza kukwamia hapo.
 
Wadada badilikeni jamani, uongo wenu utawamaliza. Kuna mdada tumefahamiana siku 1 baada ya hapo tukawa tunawasiliana, hi leo tukakubaliana kuonana maeneo ya Feri-Kigamboni(alipenda hapo mana anakaa Kibada-kigamboni pia lengo kuu ilikua just kufahamiana). Nikamuambia aamue muda gani ni convinience kwake itakayo faa kuonana, hatimaye ka sugest kua ni saa 12:30 jioni. Ilipofka saa kumi jioni nikanza safari nikitokea Mbezi, nkafka posta, nkapanda Bodaboda mpaka Fery, nikavuka(muda wote nampa update ya safari). Nlipoanza kuvuka aka niupdate kua naye ndio anatoka home, bada ya kuvuka nkanza kumsubiria mpaka saa moja kamili, ikabdi nimpgia akasema amefka geti jeusi(kituoa jirani na feri), ikafka saa mbili dakika 5, nkapgia tena akasema amefka na yupo karbu na standi ya daladala. Nkamwambia nami nipo hapo, akakata simu, bada ya dak 5, akanitext "please wait kidogo" saa mbili na 30 nkapga simu akaniambia hvi "SAMAHANI NISAMEHE NIMESHNDWA KUJA". In short imeniuma sana na wadada kweli mmenikatsha tamaa na nimewachukia sana, nimeteseka sana na daladala muda huu ndio nafka geto! kibaya zaidi ni mara ya pili hili likinitokea! Wadada! wadada! wadada!

Hahahahahahahahaha u made my day
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom