Alichonifanya huyu dada, sintokaa nisahau

Alichonifanya huyu dada, sintokaa nisahau

Italipa tu.Kuwa mvumilivu. Mimi niliwekwa guard miaka kadha iliyopita huko Levolosi (makao mapya)kuanzia saa 2 hadi saa 7 ndipo mlinzi mmoja(akwi) akanitolea uvivu na kunishauri niende nyumbani kwani nimeachwa solemba. Sikukata tamaa kwani aliyeniacha solemba leo ni wife. No pain no gain.Mwindaji hakatishwi tamaa na setbacks ndogo ndogo.
 
Hapo kosa gani sasa, jamani nikimuambia mtu suggest muda kuna ubaya? Embu fafanua ndugu EMT
Wewe ndo unatakiwa ubadilike. Ukishabadilika hutadanganywa tena. Kosa lako unalijua?

Hilo ndo kosa lako.
 
Last edited by a moderator:
Mara ya pili leo?

Harakati za dakta love pimbi katika ubora wake!

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums

hihihiiiiiiiiiii carter umenivunja mbaaaaavu zanguuu aiseeee
 
Last edited by a moderator:
Laiti ungejua ulvo nitia hasira. Kwani wewe ulianzeje kufahamiana na mumeo/boyfriend wako? Ama kweli wote akili sawa. masai dada

ni,esema hao watu ndo hopeless sio wewe
looooh kweli umevurugwa na umenielewa vibaya

nikasema in jokes nunua mkate ule ulale,,,,nikimaanisha ulale doing this kuandika uzi wont help that much

kama umechukia kunya tikiti
 
Last edited by a moderator:
Provided nimekasirika, lakini imenibidi nicheke, eti olakwi, Ngarna
Italipa tu.Kuwa mvumilivu. Mimi niliwekwa guard miaka kadha iliyopita huko Levolosi (makao mapya)kuanzia saa 2 hadi saa 7 ndipo mlinzi mmoja(akwi) akanitolea uvivu na kunishauri niende nyumbani kwani nime acha
 
Last edited by a moderator:
Duh, hapo nimekupata, shukrani masai dada
ni,esema hao watu ndo hopeless sio wewe
looooh kweli umevurugwa na umenielewa vibaya

nikasema in jokes nunua mkate ule ulale,,,,nikimaanisha ulale doing this kuandika uzi wont help that much

kama umechukia kunya tikiti
 
Last edited by a moderator:
Duh, hapo nimekupata, shukrani masai dada
ni,esema hao watu ndo hopeless sio wewe
looooh kweli umevurugwa na umenielewa vibaya

nikasema in jokes nunua mkate ule ulale,,,,nikimaanisha ulale doing this kuandika uzi wont help that much

kama umechukia kunya tikiti
 
Last edited by a moderator:
Italipa tu.Kuwa mvumilivu. Mimi niliwekwa guard miaka kadha iliyopita huko Levolosi (makao mapya)kuanzia saa 2 hadi saa 7 ndipo mlinzi mmoja(akwi) akanitolea uvivu na kunishauri niende nyumbani kwani nimeachwa solemba. Sikukata tamaa kwani aliyeniacha solemba leo ni wife. No pain no gain.Mwindaji hakatishwi tamaa na setbacks ndogo ndogo.

Pole mkubwa saa 2 mpaka saba usiku we ni nouma umefunika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom