Alichonifanya huyu dada, sintokaa nisahau

Alichonifanya huyu dada, sintokaa nisahau

Piga moyo konde songa mbele nawe utampata mnyonge wako usihofu.
Wakati mwingine ukiepushwa hao viumbe shukuru huenda yangekuwa majanga
 
Pole asee..,una nyota ya pimbi aseee...fanya fanya uisafishe...
 
Bila shaka atakuwa mwana JF huyo ndio maana umeamua uweke na kasredi...
 
Rahisi sana kusema hivyo kama hujapenda kisawasawa utaomba kwa kila namna unayoijua. Mapenzi yakikolea hayana ujanja. Ni rahisi kujibu kwa kutumia keyboard kwani huwajibiki. Usiombe kupenda asiyekupenda.

Unapendaje hujamuona mtu Mwenyewe ? Hapa sema mdada mzinguaji tu mpotezee yaishe ila sio kupenda kitu hukijui
 
hata wenye magari wanapigwa chini na kukataliwa pia.
ukiwa na nyota ya kunguru unafikiri utafugwa na nani? nivema akale mkate kama mdau alivyoshauri.

hhahhaa MAPENZI ACHA YAITWE MAPENZI
watu tupo na simu now jf wengine WANASHUGHULIKA UKO
MO11 KAZI NJEMA
 
Last edited by a moderator:
Au alikushtukia ulikuwa unataka papuch kwani mwelekeo wko unavyoonyesha
 
Kwani umesahau harakati za fataki, tulia kijana Mbezi to kigamboni afu unaachwa solemba duh!
 
Huo muda unaoupoteza kwa kukimbiza na mabinti utakuja kuujutia......wanawake warembo walikuwapo, wapo na wataendelea kiwepo na utawaacha.....kwa mtiririko wa mada yako inaonyesha kuwa wewe bado kijana mdogo na huna kitu kinachokuweka bize ndio maana hata unapata muda wa kukimbizana na mabinti.....fanya kazi ujenge maisha yako.......
VUNJA MIFUPA ANGALI BADO MENO YAPO...
 
Wanawake wamejaa tele tena wapo machizi na wenye busara wewe bado unawaza wanawake tu mwanamke yeyote mpe nywele tu usimpe moyo hata akikutibua nywele unazinyoa habari yake inaisha shida yako unawapa moyo utapasuka.
 
Embu nipe experience, nakiri kua mimi ni kijana, je, wewe ulimpataje mke wako? Je, hukupoteza hata tone la muda? Pia je, uliwapateje marafiki ulionao? Mbona ndugu unankatsha tamaa hvo? Nb! Kumbuka wenye wako na hela nyingi wamepata kwa networking KikulachoChako
Huo muda unaoupoteza kwa kukimbiza na mabinti utakuja kuujutia......wanawake warembo walikuwapo, wapo na wataendelea kiwepo na utawaacha.....kwa mtiririko wa mada yako inaonyesha kuwa wewe bado kijana mdogo na huna kitu kinachokuweka bize ndio maana hata unapata muda wa kukimbizana na mabinti.....fanya kazi ujenge maisha yako.......
VUNJA MIFUPA ANGALI BADO MENO YAPO...
 
Last edited by a moderator:
hhahhaa MAPENZI ACHA YAITWE MAPENZI
watu tupo na simu now jf wengine WANASHUGHULIKA UKO
MO11 KAZI NJEMA

kazi gani saa 10 hii wewe mwenyewe umenikimbia
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom