Alichonifanya huyu dada, sintokaa nisahau

Alichonifanya huyu dada, sintokaa nisahau

Kuna vitu vya msingi sana mdau ulikosea. Kwanza ujue m/ke ni mtu wa kubadilibadilika sana kweny kutoa maamuz mnaweza kukubaliana vizuri tu lakini ghafla bn vuu mwnzio anabadili mawazo kwa nyuzi 90. Kifupi next time ukipata mdada kwa style hiyo hakikisha unamvua c.hu.pi siku hiyohiyo kabla hamjapoteana hata km huna kiu mtie v.i.d.o.l.e then achana nae siku nyingine mkikutana yy ndo atakuomba mpige gemu hasa km ulimkuna mara ya kwanza.
 
Tuliza mtori,nyama ziko chini! Mdada anakupima temper/uvumilivu na Uanaume wako,mpigie simu uongee kiuanaume sio kulia lia...umewekwa kwenye mizani!!! adios
 
Tuliza mtori,nyama ziko chini! Mdada anakupima temper/uvumilivu na Uanaume wako,mpigie simu uongee kiuanaume sio kulia lia...umewekwa kwenye mizani!!! adios

Duuuhh....mtu akiniweka kwenye mizani ya hivi naangukia pua dadek
 
kwan hujaelewa nn hapo wewe pimbi!.... demu yawezekana kakuona na hajakukubali, yawezekana unaswagz za kishamba...(change urself). ur not hb jins alivokuona....tafadhar acha kutongoza demu kwa kujifanya kukosea namba au kuptia mitandao ya kijamii.....tafuta na mtongoze in real situation acha ufala wako.
 
kwan hujaelewa nn hapo wewe pimbi!.... demu yawezekana kakuona na hajakukubali, yawezekana unaswagz za kishamba...(change urself). ur not hb jins alivokuona....tafadhar acha kutongoza demu kwa kujifanya kukosea namba au kuptia mitandao ya kijamii.....tafuta na mtongoze in real situation acha ufala wako.

Hii sijaipenda umeaanza na pimbi ukaenda ---- ss sijui ungemalizia na nn nahisi bando iliisha. Be positive
 
Huyo dada alikuja na alikuona
wee ndo hukumuona...
 
Wadada badilikeni jamani, uongo wenu utawamaliza. Kuna mdada tumefahamiana siku 1 baada ya hapo tukawa tunawasiliana, hi leo tukakubaliana kuonana maeneo ya Feri-Kigamboni(alipenda hapo mana anakaa Kibada-kigamboni pia lengo kuu ilikua just kufahamiana). Nikamuambia aamue muda gani ni convinience kwake itakayo faa kuonana, hatimaye ka sugest kua ni saa 12:30 jioni. Ilipofka saa kumi jioni nikanza safari nikitokea Mbezi, nkafka posta, nkapanda Bodaboda mpaka Fery, nikavuka(muda wote nampa update ya safari). Nlipoanza kuvuka aka niupdate kua naye ndio anatoka home, bada ya kuvuka nkanza kumsubiria mpaka saa moja kamili, ikabdi nimpgia akasema amefka geti jeusi(kituoa jirani na feri), ikafka saa mbili dakika 5, nkapgia tena akasema amefka na yupo karbu na standi ya daladala. Nkamwambia nami nipo hapo, akakata simu, bada ya dak 5, akanitext "please wait kidogo" saa mbili na 30 nkapga simu akaniambia hvi "SAMAHANI NISAMEHE NIMESHNDWA KUJA". In short imeniuma sana na wadada kweli mmenikatsha tamaa na nimewachukia sana, nimeteseka sana na daladala muda huu ndio nafka geto! kibaya zaidi ni mara ya pili hili likinitokea! Wadada! wadada! wadada!

Pole mwaaayaa mdogo wangu ila shukuru Mola ajakuambia anakaa Mwanza ukafunga sfr ya mwanza kumbe hapa mjini tu Preise ur Lord but next time muache afike kwanza akikutafuta yeye ndio uende baada ya kubaini evidence zote kuwa kafika. Na mkome mapenzi ya mtandao kwani ujui yanaanzia hapa na kufia hapohapo bila kuonana wewe ukataka kuonana uoni imekula kwako!
 
ni,esema hao watu ndo hopeless sio wewe
looooh kweli umevurugwa na umenielewa vibaya

nikasema in jokes nunua mkate ule ulale,,,,nikimaanisha ulale doing this kuandika uzi wont help that much

kama umechukia kunya tikiti

Utarogwaaaaaaa!!!😉
 
Maskhara hayo!!!binti kakushobokea unamuendea na bodaboda?????alikudanganya alikuwepo hapo stendi akakutathmini akakuona mchovu!!!!mkaribishe CLUB KAKALA uone kama hakupi mzigo siku hiyohiyo.
 
balehe itakuponza.....mwanamke anatakiwa akufate kama umemwaga madini ya kutosha...sasa we mgeni kigamboni angesema muende hotel ungefanyaje angekupeleka yeye ungesema malaya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom