Imposibo_
JF-Expert Member
- Feb 1, 2016
- 2,746
- 2,125
Anatufundisha sana sana maana mambo mengi tulikuwa gizaniSasa huyu wakili "msomi" mbona anaanza utetezi mitandaoni wakati kesi ipo mahakamani?
Anatufundisha sana sana maana mambo mengi tulikuwa gizaniSasa huyu wakili "msomi" mbona anaanza utetezi mitandaoni wakati kesi ipo mahakamani?
Nenda kapambane nako haka kajamaa mahakamani. Nenda avogadro ila ujue pia kanajua hadi sheria kanuni ya newtonHaka kajamaa ni kaongo kupitiliza na kanawadanganta wajinga na wanamwamini kuwa anajua yaani hata polisi wakipata taarifa saa sita za usiku kuwa nyumba fulani kuna silaha watasubiri asubuhi eti!!!!? shame upon him
Ndo matakwa ya sheriaHaka kajamaa ni kaongo kupitiliza na kanawadanganta wajinga na wanamwamini kuwa anajua yaani hata polisi wakipata taarifa saa sita za usiku kuwa nyumba fulani kuna silaha watasubiri asubuhi eti!!!!? shame upon him
We si umeona sheria imesema.. Na huwa wanazingira nyumba mpaka asubuhi huwa hawakagui usiku acha wazimuHaka kajamaa ni kaongo kupitiliza na kanawadanganta wajinga na wanamwamini kuwa anajua yaani hata polisi wakipata taarifa saa sita za usiku kuwa nyumba fulani kuna silaha watasubiri asubuhi eti!!!!? shame upon him
safari hii CDM wamekuja na style ya kuwapokea watuhumiwa woteNaona wanachadema busy na yasiyosaidia wananchi au kuwaletea maendeleo.
Tumia akili wakati mwingine.. Ukimtoa lema hapo hao wengine si walikuwa na mawakili wao au? Na kinachofanyika we si unakijua au? Subiri tarehe 26 ndio utazungumza mengineLijualikali in prison, big brain at work. Seleman Mathew in prison, big brain at work. Godbless Lema in prison, big brain at work!
Kamuulize "Faru John" kwanini kila siku analia na kupiga mayowe na mawakili wa serikali? Maana inaonekana wanafanya unachoshauri, mwisho wa siku wanaangukia pua na kuiingizia serikali hasara, ambayo ndio sehemu ya makato ya kodi yako.Huwezi kujivunia kushinda kesi kwa kutumia 'teknikalitizi' za kimahakama. Jivunie kesi kwa kumtetea mdai ama mdaiwa kulingana na hali halisi ya tukio zima. Usitumie mbinu ovu kuvuruga haki ya mdai. Stivu, kadhibitisha anavuta...wameenda usiku wamekuta 'msuba' wewe unasema ameonewa....!!! ndiyo maana mukulu kulu anataka nanyi mfungwe nao hao wahalifu!
Nimeicopy hii kwa matumizi ya baadae!Mtu hawezi kutoka bush aje mjini kushindana na watoto wa mjini
wanaumbuka vibaya
Bashite mimi sio size yako... Mi nacheza na Sizonje we size yako akina Tunda pita hivi....Usilitaje jina la Mungu kwa mambo yasiyo ya maana na wala usimshirikishe ktk mambo ya kijinga. Mnatafuta laana na mambo yenu ya mihemko ya kisiasa. Mungu akusamehe.
Siku ya kesi ndipo utajua kwanini kasisitiza hivyo...there is a logic behind huo msisitizo!Kwa hiyo gram moja ni ndogo sana au? Mbona anasisitiza sana kuwa siyo kilogram?
Ukiona muvi imehamia mahakamani ujue unakaribia kuyaona maandishi madogomadogo yanayotokaga chini yanapanda juu, maana sterling amekaribia kuuawa halafu =END=!
!
hahahahaha huyu Tundu Lissu ni kiboko...na mmovie inaendelea aiseee hahahahaha mapambano yamehamia Mahakamani.
Hivyo andeleeni kuvisoma ili mjibie mitihani, ila mnapokuja kwenye practice mnaonekana wa kudema dema mithili ya KUKU mwenye mdondo. Nikutahadhalishe tu bado mapema Kosomea UDEREVA WA GARI ni tofauti kabisa KUENDESHA GARI.Lissu ndio nani? wewe binafsi unajua nini kuhusu sheria !!!au kila uongo anaousema unaamini? Criminal procedure act , Tanzania police and auxiliary service act, pamoja na police general order umesoma vifungu vyote vinavyohusu upekuzi au unamwamini tuu huyo jamaa na mauongo yake?
Lengo ilikuwa kuua issue ya benisananeHanna kesi hapa, hili nalo litapita tunasubiri muvi nyingine, ngoja nikae pembeni nicheki hii muvi steringi anakufa kwenye maua
Hanna kesi hapa, hili nalo litapita tunasubiri muvi nyingine, ngoja nikae pembeni nicheki hii muvi steringi anakufa kwenye maua
Haujawahi kuwa na ndugu aliyebambikwa kesi na polisi wa Tanzania ?Huwezi kujivunia kushinda kesi kwa kutumia 'teknikalitizi' za kimahakama. Jivunie kesi kwa kumtetea mdai ama mdaiwa kulingana na hali halisi ya tukio zima. Usitumie mbinu ovu kuvuruga haki ya mdai. Stivu, kadhibitisha anavuta...wameenda usiku wamekuta 'msuba' wewe unasema ameonewa....!!! ndiyo maana mukulu kulu anataka nanyi mfungwe nao hao wahalifu!