Alichokisema Lissu juu ya kesi ya Wema

Alichokisema Lissu juu ya kesi ya Wema

MHH MAPOVU YA NINI WAKATI MAJI YAPO ? TUTAJUA MBIVU NA MBICHI.MARCH SIO MBALI
 
Mbona hata wewe una kiburi? Dhambi zote umebeba wewe... Narudia huwezi kumnywesha Mungu uji.....

Kwanza sijadiliani na vilazer... Mtu mwenyewe hata cheti cha form four huna!!
Sawa bingwa wa maneno na kejeli. Naona adolescence age inakusumbua. Kwa uandishi wako ni dhahiri kama umeenda shule bado haujaelimika. Unajihisi unajua kila kitu huku haujui kitu. Mimi nakushauri tu weka akiba ya maneno. If you want to be an egotistical bastard just make sure you are realy clever bastard close to genious.
 
Naona wanachadema busy na yasiyosaidia wananchi au kuwaletea maendeleo.
Kumsaidia mwananchi/wananchi ni kosa? Mbona mkulu kampigia simu mwanachi na kumsaidia umeoona la chadema tu
 
Our court and lawyers are directive as a matter of fact, their small in big fish.
 
Haka kajamaa ni kaongo kupitiliza na kanawadanganya wajinga na wanamwamini kuwa anajua yaani hata polisi wakipata taarifa saa sita za usiku kuwa nyumba fulani kuna silaha watasubiri asubuhi eti!!!!? shame upon him. Nilikuwa sijui nini maana ya '' MANYUMBU " leo nimejua
[Red]punguza povu kwanza ndo ukoment[/Red]
 
Huwezi kujivunia kushinda kesi kwa kutumia 'teknikalitizi' za kimahakama. Jivunie kesi kwa kumtetea mdai ama mdaiwa kulingana na hali halisi ya tukio zima. Usitumie mbinu ovu kuvuruga haki ya mdai. Stivu, kadhibitisha anavuta...wameenda usiku wamekuta 'msuba' wewe unasema ameonewa....!!! ndiyo maana mukulu kulu anataka nanyi mfungwe nao hao wahalifu!

Acha povu
 
Sawa bingwa wa maneno na kejeli. Naona adolescence age inakusumbua. Kwa uandishi wako ni dhahiri kama umeenda shule bado haujaelimika. Unajihisi unajua kila kitu huku haujui kitu. Mimi nakushauri tu weka akiba ya maneno. If you want to be an egotistical bastard just make sure you are realy clever bastard close to genious.
Katafute cheti cha form four kilaza wewe..... Mi sio size yako.
 
Kashindwa 'kumchomoa' Lema...mahabusu..!! Kumbuka ni mwanasheria mkuu wa Chama anawajibika kuwashughulikia wanachama wanaopatwa na maswahibu ya kimahakama. Kakimbilia sehemu anayodhani ni laini...ya mvuta 'msuba'!

---Leta hoja nyingine.
Lema anahusiano gani na mada hapo juu!!!
 
Kwa hiyo gram moja ni ndogo sana au? Mbona anasisitiza sana kuwa siyo kilogram?
Pointi ni kwamba kama shida yao kweli ilikuwa kushughulika na bangi (dawa za kulevya)....kuna watu/Wasanii wangapi ambao Polisi wangeenda kwa kushtukiza na kukamata bangi tele tu na kuwasweka ndani hao watuhumiwa? kina 20 pa, mani fengo...wapo wengi tu.

Ni Wema peke yake aliyeonekana ana stahili kulala ndani kwa siku saba kwa kukutwa na hizi gramu 1.08?
 
Back
Top Bottom