Iki ulichoandika ndo kinasaidia wananch na kuwaletea maendeleo eNaona wanachadema busy na yasiyosaidia wananchi au kuwaletea maendeleo.
Hana shida, anajiaminSasa huyu wakili "msomi" mbona anaanza utetezi mitandaoni wakati kesi ipo mahakamani?
M nakushangaa ww zaidi kuliko kuwashangaa waoNaona wanachadema busy na yasiyosaidia wananchi au kuwaletea maendeleo.
mbona baba ako nae anaangaika na akina manji badala ya kutuletea maendeleoNaona wanachadema busy na yasiyosaidia wananchi au kuwaletea maendeleo.
wewe ndugu yangu endelea kupambana na hali yako tu mambo ya sheria waachie wakina lisuHaka kajamaa ni kaongo kupitiliza na kanawadanganta wajinga na wanamwamini kuwa anajua yaani hata polisi wakipata taarifa saa sita za usiku kuwa nyumba fulani kuna silaha watasubiri asubuhi eti!!!!? shame upon him
Usilitaje jina la Mungu kwa mambo yasiyo ya maana na wala usimshirikishe ktk mambo ya kijinga. Mnatafuta laana na mambo yenu ya mihemko ya kisiasa. Mungu akusamehe.Sizonje tulikwambia.... Huwezi kumnywesha Mungu uji......
Marehemu steringi, ila tukitoa rambirambi watazilamba.Hanna kesi hapa, hili nalo litapita tunasubiri muvi nyingine, ngoja nikae pembeni nicheki hii muvi steringi anakufa kwenye maua
Lissu ndio nani? wewe binafsi unajua nini kuhusu sheria !!!au kila uongo anaousema unaamini? Criminal procedure act , Tanzania police and auxiliary service act, pamoja na police general order umesoma vifungu vyote vinavyohusu upekuzi au unamwamini tuu huyo jamaa na mauongo yake?wewe ndugu yangu endelea kupambana na hali yako tu mambo ya sheria waachie wakina lisu
Lisu kaandika wapi mitandaoni, only people are quoting him!Sasa huyu wakili "msomi" mbona anaanza utetezi mitandaoni wakati kesi ipo mahakamani?
Issue ni kushinda kesi period.Huwezi kujivunia kushinda kesi kwa kutumia 'teknikalitizi' za kimahakama. Jivunie kesi kwa kumtetea mdai ama mdaiwa kulingana na hali halisi ya tukio zima. Usitumie mbinu ovu kuvuruga haki ya mdai. Stivu, kadhibitisha anavuta...wameenda usiku wamekuta 'msuba' wewe unasema ameonewa....!!! ndiyo maana mukulu kulu anataka nanyi mfungwe nao hao wahalifu!
shangaa wewe.Sasa huyu wakili "msomi" mbona anaanza utetezi mitandaoni wakati kesi ipo mahakamani?