avogadro
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 8,771
- 15,778
siwezi kujibu udaku angeweka sheria na kifungu ningemjibu kwa sheria na kifungu.Sasa wewe unayesema Lisu Muongo si ushushe nondo zako hapa watu wapime siyo makelele mengi yasiyo na tija
siwezi kujibu udaku angeweka sheria na kifungu ningemjibu kwa sheria na kifungu.Sasa wewe unayesema Lisu Muongo si ushushe nondo zako hapa watu wapime siyo makelele mengi yasiyo na tija
Lissu Mungu anakuona [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ameandika wakili msomi Tundu lissu
Sio msokoto wa bangi. Hati ya mashtaka dhidi yake inasema Wema amekutwa na gramu 1.08 za bangi. Gramu, sio kilogramu. Polisi waliokamata 'madawa hayo ya kulevya' walifanya sachi saa tatu usiku.
Sheria inayohusu sachi inasema sachi inatakiwa kufanyika kati ya saa moja asubuhi na saa 12 jioni ili, obviously, kupunguza uwezekano wa polisi kupandikiza ushahidi.
Tunamsubiri Paul Makonda mahakamani aje atoe ushahidi wa namna alivyojua Wema anatumia madawa ya kulevya mpaka akamtaja hadharani. Asipokuja basi kesi hakuna.
Aisee hii ilitokea wapi?, dah huyu Lissu ni nyokoLissu bana
Ila kina Lissu nao wana maswalii duuu
Lissu:Umesoma
Shahidi:Ndio
Lissu: Una uelewa wa kidogo wa mambo ya sheria?
Shahidi: Mi hayo mambo ya sheria za mahakamani sijui,maana nilisoma Physics
Lissu: Hata Newton's Law of Motion si sheria pia?Nayo huijui!?
Shahidi: Najua...Zipo kama tatu
Lissu :Ok ok...Sasa unaweza kutuambia why the last drop of urine doesn't obey
the law of gravity unless u shake it
well!!
Shahidi:Mimi hiyo sikuisoma
Lissu:Sasa kitu ulichosema unakifahamu,sasa unasema hujui,sasa huoni hata huo ushahidi unaosema ulikuwepo hapa unaweza kuwa unaongea kitu usichokijua?
Shahidi:Sijui
C n P
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sizonje tulikwambia.... Huwezi kumnywesha Mungu uji......
Katika hilo hautumii nia ovu ya kuyumbusha mahakama kwa kutumia 'teknikalitizi chakachuzi'. Unajenga hoja kuonyesha uhalisia kuwa 'mteja wangu' amebambikiwa kesi. Sijasema mtu adhulumiwe haki yake, la hasha. Nina himiza haki ndiyo pekee itumike kutoa hukumu, si masuala ya uwasilishwaji wa mashtaka ndiyo yatumike kutoa haki.Haujawahi kuwa na ndugu aliyebambikwa kesi na polisi wa Tanzania ?
Wanapaswa waweke ulinzi hamna mtu wa kuingia wala kutoka. Thn ikifika saa 12 waanze kazi. Kama ni mtuhumiwa wa ujambazi hiyo ni case nyingine.Ni rahisi kupandikiza ushahidi ukizingatia udogo wa kidhibiti na muda (usiku) usio kubalika kisheria.
Andika kiswahili tu ili ueleweke mana unaonesha ulivyo mweupe kwa kichwaKwako wewe ndio level nyinginr,mie kwangu he is just bluffing.. Continue praising him as you are dumb
Hakika unachokitetea hukijui....Police ina mipaka ya kulinda na kusimamia utii kwa wananchi kwa masaa?kituo cha police na kazi zao muda fulani kama office zingine hufungwa?
Kaombe kazi ya uwakili wa serikali ndo utajua Tundu Lissu ni level nyingine.Kwako wewe ndio level nyinginr,mie kwangu he is just bluffing.. Continue praising him as you are dumb
Mbona unakoboa pumba badala ya mahindi.Unaonekana bila mashaka yoyote kuwa wewe kwenye fani ya sheria ni " layman" ndio maana unaamini kila utumbo anoasema jamaa huyu
Kila la kheri na dhiaka zako kwa jina la yule aliyekuumba. Hata enzi za Gharika au Sodoma na Gomora kuna watu walionywa kwa tabia zako wakafanya kiburi na dharau kama wewe.Bashite mimi sio size yako... Mi nacheza na Sizonje we size yako akina Tunda pita hivi....
Mweupe imekugusa hyo.tulia iingie acha ujinga kushabikia shabikia mambo ..tulia tafakari ndio uje hapa,ficha ujinga wakoAndika kiswahili tu ili ueleweke mana unaonesha ulivyo mweupe kwa kichwa
Sasa kama hujibu udaku ulichangia udaku wa Lisu ili iweje? Mbona nyinyi mnaojiita wasomi mnatia aibu sana,mana kama umejua ni Udaku usingejishughulisha naosiwezi kujibu udaku angeweka sheria na kifungu ningemjibu kwa sheria na kifungu.
Mbona hata wewe una kiburi? Dhambi zote umebeba wewe... Narudia huwezi kumnywesha Mungu uji.....Kila la kheri na dhiaka zako na jina la yule aliyekuumba. Hata enzi za Gharika au Sodoma na Gomora kuna watu walionywa kwa tabia zako wakafanya kiburi na dharau kama wewe.
Level nyingine kwa kuropoka,emergency search anaizungumziaje.utakufa na boda boda lako hilo unadhani kiloba hizi issueKaombe kazi ya uwakili wa serikali ndo utajua Tundu Lissu ni level nyingine.