Alianza Museveni kutunanga sasa Cyrill Ramaphosa

Wiki kadhaa zilizopita Rais Museven aliandika ktk twitter kuwa aliongea na Marais wenzie Kenyata, na Kagame kuhusiana na janga la corona. Akasema ila kwa Magufuli waliongea jambo tofauti. Akasema wamekubaliana na Marais wenzie Uhuru na Kagame namna bora ya kushughulikia madereva wa malori. Wenye Akili tukajua Museven katupiga dongo kuhusu huyu kiongozi wetu kuwa hana dira na hawezi kuwa na hoja za ushawishi kimataifa.

Sasa hivi Rais Cyrill Ramaphosa amesema alimpigia simu Magufuli ambae ni Mwenyekiti wa SADC kumshauri aitishe kikao ili kujadili namna ya kupambana na corona. Magufuli akakataa na kutaka waandike kwa maandishi.

Rais Cyrill Ramaphosa kaitisha kikao kwa njia ya video ikishirikisha Marais zaidi ya nchini tano bila kumshirikisha Magufuli. Manana yake ni kuwa wamemdharau na kuwa wameona hana dira kwao.

Kifupi ni kuwa ukiona wewe ni Mwenyekiti umetoa mapendekezo yako yamekataliwa. Halafu mtu mwingine anaitisha kikao na wajumbe wanahudhuria kwa wingi kujadili jambo ulilo likataa wewe mwenye Akili anajua Mimi sitoshi ktk nafasi hii.

Kumtetea Magufuli kwa sasa unahitaji moyo wa chuma. Hata Marais wenzake sasa wanatuonesha kuwa Watanzania tuna mzigo mzito. Huyu jamaa hafai kuwa kiongozi.

Badae nikajiongeza kujua kwa nini anaogopa hata mikutano tuu ya kwa njia ya mtandao ambayo haikulazimu kusafiri? Manana huyu jamaa hajawahi hudhuria mikutano ya kimataifa nje ya nchi.

Hivi utawashawishi vipi Marais wenzako kuwa wew unapima Mapapai na Mafenesi na kubaini kuwa yanaugua corona?

Au ukawaambia kuwa unaagiza dawa toka Madagascar wakati vipimo vya maabara yako havina uwezo wa kupima nani mgonjwa na nani sio mgonjwa?

Habari za kuwa eti ile lugha ya Queen Elizabeth pia ni tatizo kwake mimi sijui bnaa. Kwani si angeweka tuu dictionary karibu yake na kuangalia misamiati mipyaa.

Maendeleo hayanaga vyama.
Mwandishi hatuna shida ya lugha hata kidogo. Viko vile vifaa vya tafsiri lakini pia Kiswahili ni Official SADC language

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea kutoa mapovu kwa kitu usichokijua! Kwa taarifa yako huo ni mkutano wa secretariat na Rais wa SA ni mwenyekiti wa Secretariat hiyo lakini kwa kuwa wewe ni zero brain hujui kinachoendelea kwenye SADC basi endelea kutoa mapovu.
 
Karne Hii ya sayansi Magufuli bado anataka ajaze mabarua ofisini kwake. Ndio maana alisema ingekuwa amri yake mitandao ya kijamii isingekuwepo. Huyu jamaa ni very primitive. Hata Nappe ktk zile clip alisikika akisema jamaa sio tuu muoga ni mshamba kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni zaidi ya primitive
 
Wiki kadhaa zilizopita Rais Museven aliandika ktk twitter kuwa aliongea na Marais wenzie Kenyata, na Kagame kuhusiana na janga la corona. Akasema ila kwa Magufuli waliongea jambo tofauti. Akasema wamekubaliana na Marais wenzie Uhuru na Kagame namna bora ya kushughulikia madereva wa malori. Wenye Akili tukajua Museven katupiga dongo kuhusu huyu kiongozi wetu kuwa hana dira na hawezi kuwa na hoja za ushawishi kimataifa.

Sasa hivi Rais Cyrill Ramaphosa amesema alimpigia simu Magufuli ambae ni Mwenyekiti wa SADC kumshauri aitishe kikao ili kujadili namna ya kupambana na corona. Magufuli akakataa na kutaka waandike kwa maandishi.

Rais Cyrill Ramaphosa kaitisha kikao kwa njia ya video ikishirikisha Marais zaidi ya nchini tano bila kumshirikisha Magufuli. Manana yake ni kuwa wamemdharau na kuwa wameona hana dira kwao.

Kifupi ni kuwa ukiona wewe ni Mwenyekiti umetoa mapendekezo yako yamekataliwa. Halafu mtu mwingine anaitisha kikao na wajumbe wanahudhuria kwa wingi kujadili jambo ulilo likataa wewe mwenye Akili anajua Mimi sitoshi ktk nafasi hii.

Kumtetea Magufuli kwa sasa unahitaji moyo wa chuma. Hata Marais wenzake sasa wanatuonesha kuwa Watanzania tuna mzigo mzito. Huyu jamaa hafai kuwa kiongozi.

Badae nikajiongeza kujua kwa nini anaogopa hata mikutano tuu ya kwa njia ya mtandao ambayo haikulazimu kusafiri? Manana huyu jamaa hajawahi hudhuria mikutano ya kimataifa nje ya nchi.

Hivi utawashawishi vipi Marais wenzako kuwa wew unapima Mapapai na Mafenesi na kubaini kuwa yanaugua corona?

Au ukawaambia kuwa unaagiza dawa toka Madagascar wakati vipimo vya maabara yako havina uwezo wa kupima nani mgonjwa na nani sio mgonjwa?

Habari za kuwa eti ile lugha ya Queen Elizabeth pia ni tatizo kwake mimi sijui bnaa. Kwani si angeweka tuu dictionary karibu yake na kuangalia misamiati mipyaa.

Maendeleo hayanaga vyama.
Umeeleza Nini jomba hapa..hivi wewe una taarifa kamili kweli..mbona wengine tuna taarifa tofauti na ujinga huu ulioandika...Kazi tunayo
 
Upo huko Lubondo Kisiwani utapataje taarifa sahihi Pimbi wewe.Huo ubishi ndio ulio wafanya wewe na babu yako mpime Mapapai na Mafenesi corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wiki kadhaa zilizopita Rais Museven aliandika ktk twitter kuwa aliongea na Marais wenzie Kenyata, na Kagame kuhusiana na janga la corona. Akasema ila kwa Magufuli waliongea jambo tofauti. Akasema wamekubaliana na Marais wenzie Uhuru na Kagame namna bora ya kushughulikia madereva wa malori. Wenye Akili tukajua Museven katupiga dongo kuhusu huyu kiongozi wetu kuwa hana dira na hawezi kuwa na hoja za ushawishi kimataifa.

Sasa hivi Rais Cyrill Ramaphosa amesema alimpigia simu Magufuli ambae ni Mwenyekiti wa SADC kumshauri aitishe kikao ili kujadili namna ya kupambana na corona. Magufuli akakataa na kutaka waandike kwa maandishi.

Rais Cyrill Ramaphosa kaitisha kikao kwa njia ya video ikishirikisha Marais zaidi ya nchini tano bila kumshirikisha Magufuli. Manana yake ni kuwa wamemdharau na kuwa wameona hana dira kwao.

Kifupi ni kuwa ukiona wewe ni Mwenyekiti umetoa mapendekezo yako yamekataliwa. Halafu mtu mwingine anaitisha kikao na wajumbe wanahudhuria kwa wingi kujadili jambo ulilo likataa wewe mwenye Akili anajua Mimi sitoshi ktk nafasi hii.

Kumtetea Magufuli kwa sasa unahitaji moyo wa chuma. Hata Marais wenzake sasa wanatuonesha kuwa Watanzania tuna mzigo mzito. Huyu jamaa hafai kuwa kiongozi.

Badae nikajiongeza kujua kwa nini anaogopa hata mikutano tuu ya kwa njia ya mtandao ambayo haikulazimu kusafiri? Manana huyu jamaa hajawahi hudhuria mikutano ya kimataifa nje ya nchi.

Hivi utawashawishi vipi Marais wenzako kuwa wew unapima Mapapai na Mafenesi na kubaini kuwa yanaugua corona?

Au ukawaambia kuwa unaagiza dawa toka Madagascar wakati vipimo vya maabara yako havina uwezo wa kupima nani mgonjwa na nani sio mgonjwa?

Habari za kuwa eti ile lugha ya Queen Elizabeth pia ni tatizo kwake mimi sijui bnaa. Kwani si angeweka tuu dictionary karibu yake na kuangalia misamiati mipyaa.

Maendeleo hayanaga vyama.
Ingekuwa kikao cha dharura cha kuwashughulikia wapinzani labda utayari ungekuwepo.
Hivi tunaogopa wasitucorone hata kwenye video conference,maana hata hizi kits za video conference sio za kuziamini zimetoka kwa mabeberu,wasije tuma corona waves
 
Aliyekimbilia uhamishoni? Atatuuza kwa mabeberu.
Nibora kuuzwa kwa Mabeberu wa magaharibi kwa utaratibu wa kisheria kuliko kuuzwa kwa Mabeberu wa asia nje ya utaratibu wa kisheria ...

Kibaya zaidi katuuza nje ya utaratibu wa sheria halafu anawatukana sa sjui unategemea nini na budget yenyewe ndio hiyoooo inabumbwa bumbwa tunapigwa pigwa changa la macho ndiyo Mzee za kutosha ....

Mpaka mwezi wa saba kwa hali hii kibiriti titanunua kwa Sh. 1,000 Sina haraka na nyinyi coz soon we'll start to sing the same song against him just very soon to come

Picha linanza mpaka kufikia jana sukari haipatikani maduka mengi ya uswahilini after two weeks 'll go out of their control na blackarket ita tamalaki kila pembe ya nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usalama Wa Taifa wamshauri Asigombee apumzike tu, maana tukiendelea naye miaka mingine mitano, basi Nchi yetu itazidi kupoteza dira..

Ninaamini Kazi kuu ya Usalama Wa Taifa ni kulinda Maslahi ya Nchi na siyo Individual.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwana usalama atakayethubutu asahau uhai na ajira yake .

Odhis *
 
Tanzania imekula kwetu, mpaka huyu jamaa aondoke magogoni itatugharimu in big time asee.. hivi watangulizi wake hawana namna ya kuokoa Jahazi kabla halijazama?
Watangulizi ni wanufaika . Kama ndege Pori wanavyokula bila kupanda , hawawezi ku comment chochote

Odhis *
 
Wiki kadhaa zilizopita Rais Museven aliandika ktk twitter kuwa aliongea na Marais wenzie Kenyata, na Kagame kuhusiana na janga la corona. Akasema ila kwa Magufuli waliongea jambo tofauti. Akasema wamekubaliana na Marais wenzie Uhuru na Kagame namna bora ya kushughulikia madereva wa malori. Wenye Akili tukajua Museven katupiga dongo kuhusu huyu kiongozi wetu kuwa hana dira na hawezi kuwa na hoja za ushawishi kimataifa.

Sasa hivi Rais Cyrill Ramaphosa amesema alimpigia simu Magufuli ambae ni Mwenyekiti wa SADC kumshauri aitishe kikao ili kujadili namna ya kupambana na corona. Magufuli akakataa na kutaka waandike kwa maandishi.

Rais Cyrill Ramaphosa kaitisha kikao kwa njia ya video ikishirikisha Marais zaidi ya nchini tano bila kumshirikisha Magufuli. Manana yake ni kuwa wamemdharau na kuwa wameona hana dira kwao.

Kifupi ni kuwa ukiona wewe ni Mwenyekiti umetoa mapendekezo yako yamekataliwa. Halafu mtu mwingine anaitisha kikao na wajumbe wanahudhuria kwa wingi kujadili jambo ulilo likataa wewe mwenye Akili anajua Mimi sitoshi ktk nafasi hii.

Kumtetea Magufuli kwa sasa unahitaji moyo wa chuma. Hata Marais wenzake sasa wanatuonesha kuwa Watanzania tuna mzigo mzito. Huyu jamaa hafai kuwa kiongozi.

Badae nikajiongeza kujua kwa nini anaogopa hata mikutano tuu ya kwa njia ya mtandao ambayo haikulazimu kusafiri? Manana huyu jamaa hajawahi hudhuria mikutano ya kimataifa nje ya nchi.

Hivi utawashawishi vipi Marais wenzako kuwa wew unapima Mapapai na Mafenesi na kubaini kuwa yanaugua corona?

Au ukawaambia kuwa unaagiza dawa toka Madagascar wakati vipimo vya maabara yako havina uwezo wa kupima nani mgonjwa na nani sio mgonjwa?

Habari za kuwa eti ile lugha ya Queen Elizabeth pia ni tatizo kwake mimi sijui bnaa. Kwani si angeweka tuu dictionary karibu yake na kuangalia misamiati mipyaa.

Maendeleo hayanaga vyama.

Uzoefu wa kimatafita hawana waziri naye anajifunza bado hapo ndipo tatizo. Vilevile tabia ya kusubiri kusifiwa hapo haipo na kulalamika hapo haipo. Hakuna Chadema huko😂
 
Uzoefu wa kimatafita hawana waziri naye anajifunza bado hapo ndipo tatizo. Vilevile tabia ya kusubiri kusifiwa hapo haipo na kulalamika hapo haipo. Hakuna Chadema huko[emoji23]
Anadhani kule akiwaeleza Marais wenzie andikeni maelezo yenu basi wataanza kusema tunaunga juhudi za Mwenyekiti wa SADC. Watu wakamcheki wakaona huyu babu hayupo Sawa, Karne hii eti tuandike barua? Mwamba wa S.A. akaitisha kikao bila kumuhusisha Bushman huko Kisiwani Lubondo. Watu hawataki udikteta uchwara ktk SADC yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiwe alizoea Kupelekeshwa watanzania ,akachani atawapelekesha na viongozi SADCC,Ramaphosa akagoma.Avipelekeshe vichwa vimeenda shule kumzidi na vina uzoefu zaidi yake.
IMG_20200509_170039.jpg
 
Uzi wa kipumbavu kabisa huu kuwai tokea

1. Umeprove failure na akili finyu ulipotoka kwenye mantiki na kumdescribe na kum-underrate mtu eti sababu hajui kizungu..

2. Yeye ni mwenyekit ana mandate ya kushauri na kutoa maamuzi pia sijaona kosa lake la wewe uliekaa nyuma ya keyboard kutaka kutuelewesha na kutuaminisha mtu alie ikulu muda huu ni mjinga eti wewe uliekaa siajabu nyumbani kwa shemeji ni mwerevu

Wa Tz mna matatzo makubwa sana na msipobadilika mitazamo hakika hata kula yetu itakua shida sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri wako ni upi mkuu??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kunangwa ,yaani mtu afanye uzembe makusudi, ugonjwa usambae,halafu wamchekee awapelekee,huo Ni ujinga wa watanzania tu sabubu ya mwenge Mungu wa ccm Nyamrunda.
 
Back
Top Bottom