Alianza Museveni kutunanga sasa Cyrill Ramaphosa

Wiki kadhaa zilizopita Rais Museven aliandika ktk twitter kuwa aliongea na Marais wenzie Kenyata, na Kagame kuhusiana na janga la corona. Akasema ila kwa Magufuli waliongea jambo tofauti. Akasema wamekubaliana na Marais wenzie Uhuru na Kagame namna bora ya kushughulikia madereva wa malori. Wenye Akili tukajua Museven katupiga dongo kuhusu huyu kiongozi wetu kuwa hana dira na hawezi kuwa na hoja za ushawishi kimataifa.

Sasa hivi Rais Cyrill Ramaphosa amesema alimpigia simu Magufuli ambae ni Mwenyekiti wa SADC kumshauri aitishe kikao ili kujadili namna ya kupambana na corona. Magufuli akakataa na kutaka waandike kwa maandishi.

Rais Cyrill Ramaphosa kaitisha kikao kwa njia ya video ikishirikisha Marais zaidi ya nchini tano bila kumshirikisha Magufuli. Manana yake ni kuwa wamemdharau na kuwa wameona hana dira kwao.

Kifupi ni kuwa ukiona wewe ni Mwenyekiti umetoa mapendekezo yako yamekataliwa. Halafu mtu mwingine anaitisha kikao na wajumbe wanahudhuria kwa wingi kujadili jambo ulilo likataa wewe mwenye Akili anajua Mimi sitoshi ktk nafasi hii.

Kumtetea Magufuli kwa sasa unahitaji moyo wa chuma. Hata Marais wenzake sasa wanatuonesha kuwa Watanzania tuna mzigo mzito. Huyu jamaa hafai kuwa kiongozi.

Badae nikajiongeza kujua kwa nini anaogopa hata mikutano tuu ya kwa njia ya mtandao ambayo haikulazimu kusafiri? Manana huyu jamaa hajawahi hudhuria mikutano ya kimataifa nje ya nchi.

Hivi utawashawishi vipi Marais wenzako kuwa wew unapima Mapapai na Mafenesi na kubaini kuwa yanaugua corona?

Au ukawaambia kuwa unaagiza dawa toka Madagascar wakati vipimo vya maabara yako havina uwezo wa kupima nani mgonjwa na nani sio mgonjwa?

Habari za kuwa eti ile lugha ya Queen Elizabeth pia ni tatizo kwake mimi sijui bnaa. Kwani si angeweka tuu dictionary karibu yake na kuangalia misamiati mipyaa.

Maendeleo hayanaga vyama.
"Magufuli akakataa na kutaka waandike kwa maandishi" Ina wezekana nikutokana na lugha aliyotumia huyo aliempigia ndio maana alitaka kwa maandishi ili aelewe agenda ya kikao na aweze kujipanga. Lakini kukataa mapendekezo ya m/kiti na kuendelea na kikao bila ya m/kiti huo ni usaliti.
 
Shule nchini mwake zinachomwa moto kwa kujifanya kuweka watu lockdown wakati hawana uwezo wa kuhimili kishindo cha njaa, mkuu wetu sela zake ni watu waruhusiwe wafanye kazi ila kwa tahadhali, sasa kama walimpuuza wazo lake
leo wanamuita kujadili madhala yaliyotokana na ukaidi, hata ungelikuwa wewe ungefanyaje kama sio kuwakatalia?
Sawa ila kilakitu ujadiliwa mezani ndio uungwana huo.
 
Hiyo dawa ya Madagascar watatumia watu wenye mitazamo ya kishirikina. Nakumbuka kikombe cha babu, zaidi ya 95% walioenda ni wale wanaoamini ushirikina. Nakumbuka hata mkulu alienda kwani ni mtu anayeaminika zaidi ushirikina.
Na wengi walikufa baada hapo
 
Shule nchini mwake zinachomwa moto kwa kujifanya kuweka watu lockdown wakati hawana uwezo wa kuhimili kishindo cha njaa, mkuu wetu sela zake ni watu waruhusiwe wafanye kazi ila kwa tahadhali, sasa kama walimpuuza wazo lake
leo wanamuita kujadili madhala yaliyotokana na ukaidi, hata ungelikuwa wewe ungefanyaje kama sio kuwakatalia?
Sawa kabisa halafu corona ni janga kwa dunia hivyo kila nchi ipambane kwa namna inayowafaa
 
'Nje kuna mvua halafu wewe umejificha Ndani unawaambia wenzio watoke Nje Ile mvua haina madhara.'
Huyu jamaa, ongea yake yoote, hakuwahi kuwakatalia watu kujifungia! Vipi wewe mkuu umewahi kujifungia au na wewe mapambano yanaendelea, unajitahidi kukwepana na Corona kazini
 
Unataka aje nani ?.
Mungu au malaika aje akwambie hyo ndo dawa ya corona?

Sent using Jamii Forums mobile app
Suala sio nani kasema amegudua dawa ndio ikubalike. Awe mzungu au mchina au Afrikano hatuna shida hata kidogo. Tatizo zama za kutangaza dawa ya tumbo au ya kichwa au ya mguu zilishapita. Mfano tumbo linaa maradhi alfu kidogo na kila moja lina dawa yake
 
Hicho kibabu kidikteta cha Uganda nacho ni role model wa chadema siku hizi?

Magufuli kachagua njia sahihi. Kwa hili anastahili pongezi. Wakati mwingine ujeuri unalipa!

Mijitu inajidekeza dekeza tu kwa mabeberu. Mkiona hao waume zenu wako lockdown na nyinyi mnajifungia.

Wameshafungua hizo lockdown. Tunawasubiri muige pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe una uthibitisho gani kuwa mwandishi wa habari hii ni Chadema pia ujue kuwa hao ni mabwana zenu wote maana mikopo na misaada yao ndio inawaweka hai.
 
Wiki kadhaa zilizopita Rais Museven aliandika ktk twitter kuwa aliongea na Marais wenzie Kenyata, na Kagame kuhusiana na janga la corona. Akasema ila kwa Magufuli waliongea jambo tofauti. Akasema wamekubaliana na Marais wenzie Uhuru na Kagame namna bora ya kushughulikia madereva wa malori. Wenye Akili tukajua Museven katupiga dongo kuhusu huyu kiongozi wetu kuwa hana dira na hawezi kuwa na hoja za ushawishi kimataifa.

Sasa hivi Rais Cyrill Ramaphosa amesema alimpigia simu Magufuli ambae ni Mwenyekiti wa SADC kumshauri aitishe kikao ili kujadili namna ya kupambana na corona. Magufuli akakataa na kutaka waandike kwa maandishi.

Rais Cyrill Ramaphosa kaitisha kikao kwa njia ya video ikishirikisha Marais zaidi ya nchini tano bila kumshirikisha Magufuli. Manana yake ni kuwa wamemdharau na kuwa wameona hana dira kwao.

Kifupi ni kuwa ukiona wewe ni Mwenyekiti umetoa mapendekezo yako yamekataliwa. Halafu mtu mwingine anaitisha kikao na wajumbe wanahudhuria kwa wingi kujadili jambo ulilo likataa wewe mwenye Akili anajua Mimi sitoshi ktk nafasi hii.

Kumtetea Magufuli kwa sasa unahitaji moyo wa chuma. Hata Marais wenzake sasa wanatuonesha kuwa Watanzania tuna mzigo mzito. Huyu jamaa hafai kuwa kiongozi.

Badae nikajiongeza kujua kwa nini anaogopa hata mikutano tuu ya kwa njia ya mtandao ambayo haikulazimu kusafiri? Manana huyu jamaa hajawahi hudhuria mikutano ya kimataifa nje ya nchi.

Hivi utawashawishi vipi Marais wenzako kuwa wew unapima Mapapai na Mafenesi na kubaini kuwa yanaugua corona?

Au ukawaambia kuwa unaagiza dawa toka Madagascar wakati vipimo vya maabara yako havina uwezo wa kupima nani mgonjwa na nani sio mgonjwa?

Habari za kuwa eti ile lugha ya Queen Elizabeth pia ni tatizo kwake mimi sijui bnaa. Kwani si angeweka tuu dictionary karibu yake na kuangalia misamiati mipyaa.

Maendeleo hayanaga vyama.
Ewe Mingu tusamehe Watanzania kwa nini uliacha tukapata cartoon badala ya kupata Rais mwaka 2015?

Tutakulaumu JAKAYA milele kama tunavyomlaumu Ponsio Pilato kwa kunawa maji badala ya kumuachia Yesu huru dhidi ya Mafarisayo. Kituko gani hichi ulituachia
 
Jiwe alizoea Kupelekeshwa watanzania ,akachani atawapelekesha na viongozi SADCC,Ramaphosa akagoma.Avipelekeshe vichwa vimeenda shule kumzidi na vina uzoefu zaidi yake.View attachment 1444895
Ikiwezekana huko mbeleni South Africa iwe Permanent Chair wa SADC maana wana uchumi mkubwa na wana mihimili (institutions) imara. Na Demokrasia ya ukweli na Utawala wa Sheria tumeuona
 
Shule nchini mwake zinachomwa moto kwa kujifanya kuweka watu lockdown wakati hawana uwezo wa kuhimili kishindo cha njaa, mkuu wetu sela zake ni watu waruhusiwe wafanye kazi ila kwa tahadhali, sasa kama walimpuuza wazo lake
leo wanamuita kujadili madhala yaliyotokana na ukaidi, hata ungelikuwa wewe ungefanyaje kama sio kuwakatalia?
Hehehe umejitutumua kutafuta ka point

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wiki kadhaa zilizopita Rais Museven aliandika ktk twitter kuwa aliongea na Marais wenzie Kenyata, na Kagame kuhusiana na janga la corona. Akasema ila kwa Magufuli waliongea jambo tofauti. Akasema wamekubaliana na Marais wenzie Uhuru na Kagame namna bora ya kushughulikia madereva wa malori. Wenye Akili tukajua Museven katupiga dongo kuhusu huyu kiongozi wetu kuwa hana dira na hawezi kuwa na hoja za ushawishi kimataifa.

Sasa hivi Rais Cyrill Ramaphosa amesema alimpigia simu Magufuli ambae ni Mwenyekiti wa SADC kumshauri aitishe kikao ili kujadili namna ya kupambana na corona. Magufuli akakataa na kutaka waandike kwa maandishi.

Rais Cyrill Ramaphosa kaitisha kikao kwa njia ya video ikishirikisha Marais zaidi ya nchini tano bila kumshirikisha Magufuli. Manana yake ni kuwa wamemdharau na kuwa wameona hana dira kwao.

Kifupi ni kuwa ukiona wewe ni Mwenyekiti umetoa mapendekezo yako yamekataliwa. Halafu mtu mwingine anaitisha kikao na wajumbe wanahudhuria kwa wingi kujadili jambo ulilo likataa wewe mwenye Akili anajua Mimi sitoshi ktk nafasi hii.

Kumtetea Magufuli kwa sasa unahitaji moyo wa chuma. Hata Marais wenzake sasa wanatuonesha kuwa Watanzania tuna mzigo mzito. Huyu jamaa hafai kuwa kiongozi.

Badae nikajiongeza kujua kwa nini anaogopa hata mikutano tuu ya kwa njia ya mtandao ambayo haikulazimu kusafiri? Manana huyu jamaa hajawahi hudhuria mikutano ya kimataifa nje ya nchi.

Hivi utawashawishi vipi Marais wenzako kuwa wew unapima Mapapai na Mafenesi na kubaini kuwa yanaugua corona?

Au ukawaambia kuwa unaagiza dawa toka Madagascar wakati vipimo vya maabara yako havina uwezo wa kupima nani mgonjwa na nani sio mgonjwa?

Habari za kuwa eti ile lugha ya Queen Elizabeth pia ni tatizo kwake mimi sijui bnaa. Kwani si angeweka tuu dictionary karibu yake na kuangalia misamiati mipyaa.

Maendeleo hayanaga vyama.

Nyinyi kama si vyombo vya dola na vya maamuzi mlitakiwa kuwa porini kabisa. Wameendesha kikao kwa namna ilivyomshinda jamaa yako kuendesha kile cha sadc . Anawadhalilisha WaTz internationally

Odhis *

Hii Issue ya Rais wetu kushindwa kuendesha mkutano hata mmoja wa SADC toka kukamilika Kwa mkutano uliomuweka madarakani imetutia
Aibu toka Uhuru ; sisi ndio tumekua kimbilio la suluhisho na kiunganishi Cha mataifa ya ukanda Huu
Lakini leo Tuna Rais ambaye wakuu wenzake wa nchi wamemvumilia hadi wanaanza kumlaumu hadharani sio kawiada
Tuna Kiongozi ambaye anapigiwa simu na wenzake hata Hapokei

Sijui tuna bahati gani Mbaya ;Hii ni aibu hata Ndani ya ccm ; inaonyesha kabisa hakuandaliwa kwa nafasi hiii kubwa ; pengine kama Uslaam wa Taifa pia kuna lawama ya kubeba hadi haya yamefika hapa

Tuotoe Wito maafisa waliopewa kazi ya kuwa naye basi wamsaidie ili taswira yake na ya Taifa isiendelee kuharibika
Wanahsindwa nini kumuandalia hotuba nzuri na hata Talking notes za kuongea kwenye simu na wenzake

Inashindikana nini maafisa kumsaidia akaendesha mikutano na wenzake kwa Video

Tunakwama wapi

Hii sio aibu ya JPM Tu Bali tunadharaulika Kila mahali
 
Kw
Wiki kadhaa zilizopita Rais Museven aliandika ktk twitter kuwa aliongea na Marais wenzie Kenyata, na Kagame kuhusiana na janga la corona. Akasema ila kwa Magufuli waliongea jambo tofauti. Akasema wamekubaliana na Marais wenzie Uhuru na Kagame namna bora ya kushughulikia madereva wa malori. Wenye Akili tukajua Museven katupiga dongo kuhusu huyu kiongozi wetu kuwa hana dira na hawezi kuwa na hoja za ushawishi kimataifa.

Sasa hivi Rais Cyrill Ramaphosa amesema alimpigia simu Magufuli ambae ni Mwenyekiti wa SADC kumshauri aitishe kikao ili kujadili namna ya kupambana na corona. Magufuli akakataa na kutaka waandike kwa maandishi.

Rais Cyrill Ramaphosa kaitisha kikao kwa njia ya video ikishirikisha Marais zaidi ya nchini tano bila kumshirikisha Magufuli. Manana yake ni kuwa wamemdharau na kuwa wameona hana dira kwao.

Kifupi ni kuwa ukiona wewe ni Mwenyekiti umetoa mapendekezo yako yamekataliwa. Halafu mtu mwingine anaitisha kikao na wajumbe wanahudhuria kwa wingi kujadili jambo ulilo likataa wewe mwenye Akili anajua Mimi sitoshi ktk nafasi hii.

Kumtetea Magufuli kwa sasa unahitaji moyo wa chuma. Hata Marais wenzake sasa wanatuonesha kuwa Watanzania tuna mzigo mzito. Huyu jamaa hafai kuwa kiongozi.

Badae nikajiongeza kujua kwa nini anaogopa hata mikutano tuu ya kwa njia ya mtandao ambayo haikulazimu kusafiri? Manana huyu jamaa hajawahi hudhuria mikutano ya kimataifa nje ya nchi.

Hivi utawashawishi vipi Marais wenzako kuwa wew unapima Mapapai na Mafenesi na kubaini kuwa yanaugua corona?

Au ukawaambia kuwa unaagiza dawa toka Madagascar wakati vipimo vya maabara yako havina uwezo wa kupima nani mgonjwa na nani sio mgonjwa?

Habari za kuwa eti ile lugha ya Queen Elizabeth pia ni tatizo kwake mimi sijui bnaa. Kwani si angeweka tuu dictionary karibu yake na kuangalia misamiati mipyaa.

Maendeleo hayanaga vyama.
Kwaheri
 
Mimi simlaumu nawalaumu hao waliompa uenyekiti.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mikutano kama miwili mitatu alikuwa anamuomba mama Samia anashiriki
Sijui kama yeye ana changamoto imeshindikana nini kumpa hiyo kazi mama yetu hii Ni mara ya Tatu Ndani ya mwezi mmoja kunakua na mikutano ya Marais na kiti Chetu kiko wazi ; Sijui kuna tatizo gani la mawasiliano hadi hata kuomba Makamu au PM wawepo

Hii ni aibu kubwa
 
Tatizo lenu kuu mnachukulia kila kitu kisiasa siasa!!

Hao mnao wasifia wamejaribu lockdown baadhi ya major cities zao - swali ni: je, wamefanikiwa kuthibiti ongezeko la maambukizi nchini mwao? Jibu ni hapana - Kwanza Africa kusini ndio inaongoza kwa maambukizi mengi kusini mwa jangwa la Sahara, Kenya nayo maabukizi katika miji ya Mombasa na Nairobi yanatisha, Uganda vile vile maabukizi yameongezeka exponenially tangu kati kati ya mwezi ulio pita - swali ni: hivi Viongozi wanao jaribu kumkejeri Rais wao wana kitu gani cha maana cha kumshauri JPM kama sio mbinu za WHO na William Gates kuwatumia baadhi ya Viongozi wa Africa ili wawatishe Viongozi wenye msimamo Barani Africa ili mwisho wa siku wakubaliane na matakwa ya Bill Gates na WHO katika harakati zao za kutaka kuharakisha kuchanja raia wote wa Africa kwa lengo la kutimiza hidden agenda zao za muda mrefu, namely: kupunguza idadi ya watu Barani Africa na Asia.

Kama M7, Ramaphosa, Kagame na Kenyatta wanafikiri lockdown ni magic bullet ya kumaliza tatizo la Corona kwa nini Mataifa kama Amerika, Ujerumani na UK wanataka kuondoa amri ya ku-lockdown miji yao, in other words wanataka kumuiga JPM,halafu watu wanakuja hapa na horror stories wakimnanga Magufuli wa watu!
 
Back
Top Bottom