Empty containers Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 2,151
- 3,980
Tamaa tu, ila Lugha ajui PhD fake
Rais aliewai kuwa na ushawishi uko nje ni Kikwete TuNani alikuwa anamtetemekea Nyerere ww? Ulikuwa unasikiliza redio Tanzania na kusoma magazeti ya propaganda mfu za ccm, ukawa unaaminishwa kuwa Nyerere anasikikizwa sana. Sasa hizo hadithi zako za kizee ndio unataka kutulisha na sisi huo ujinga? Heshima gani Magufuli kairudishia nchi hizi, kiongozi anayetumia madaraka yake kunajisi chaguzi za nchi ndio ataweza kurejesha heshima ya nchi?
Huyu Mzee lazima atakuwa mchawi sio kwa roho mbaya aliyo nayo na mambo ya kiganga anayo tuonesha.Nimeshaugua sana mimi na familia yangu lakini hatukuwahi kutibiwa kishirikina. Au unadhani Corona ndio ugonjwa wa kwanza dunia hii? Kwa taarifa yako hao wanaoshabikia kujifukiza na hiyo dawa ya Madagascar ni washirikina, au wanaoongozwa na imani za kishirikina fullstop.
Nimeshaugua sana mimi na familia yangu lakini hatukuwahi kutibiwa kishirikina. Au unadhani Corona ndio ugonjwa wa kwanza dunia hii? Kwa taarifa yako hao wanaoshabikia kujifukiza na hiyo dawa ya Madagascar ni washirikina, au wanaoongozwa na imani za kishirikina fullstop.
Huyu Mzee lazima atakuwa mchawi sio kwa roho mbaya aliyo nayo na mambo ya kiganga anayo tuonesha.
Alijifanya kuingia na gia ya kuwataka watu wafanye maombi kumbe kaficha Matunguri yake moyoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hujui kitu ni heri ukakaa kimya kuliko kujifanya mjuaji. Unauliza nani amewahi kufa kwa Covid19 wakati Rais wako anasema hujui chochote maana anayo maabara feki inayotoa Majibu feki. Hata wew ukifa kwa covid19 hiyo maabara itasema ni Fenesi limekufa.Ulisha muona hata mmoja kwa macho yako kua anaumwa au amekufa na Covid,ndugu yako?jirani yako?rafiki yako mikoani kote?au mnadhani tunaishi nchi gani?si humu humu mitaani tena sisi wengine ni watu wa safari sanaaaaa mikoa kwa mikoa,mbona hatuoni?ukisema watu wanakufa hospital kweni siku zote hakukuaga na misiba ya magonjwa mengine?watu ni kama mmerogwa kama walivyo rogwa wale wa Libya miaka ile
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Huo mwarobaini.
Uo mwarobaini.
Ni kweli kabisa angesubiri kwanza tukafuturuhebu ngoja kwanza nifuturu
Mkuu Rasta ni mtu mwenye upendo sana hana majibu kama yako ya kisiasa nikuache Mkuu..Ulisha muona hata mmoja kwa macho yako kua anaumwa au amekufa na Covid,ndugu yako?jirani yako?rafiki yako mikoani kote?au mnadhani tunaishi nchi gani?si humu humu mitaani tena sisi wengine ni watu wa safari sanaaaaa mikoa kwa mikoa,mbona hatuoni?ukisema watu wanakufa hospital kweni siku zote hakukuaga na misiba ya magonjwa mengine?watu ni kama mmerogwa kama walivyo rogwa wale wa Libya miaka ile
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Hapana dawa hiyo ingetangzwa na mzungu ndio tungeipinga zaidi ya hivi mara kumi. Nadhani ungejiuliza huo ugunduzi tulionao ni kwenya dawa tuu baaaasi. Ila kwenye mambo mengine hatuna kabisa ugunduzi. Afya ya bindamu ni muhimu sana wewe gundua dawa leo tuambie ni mchanganyiko gani na inafanyaje kazi na ina makandokando gani, tutatest tukithibitisha baaasi. Dawa zinazokubalika moja kwa moja bila maelezo ni limbwata tu labda na chuma uleteHyo dawa angeitangaza mzungu mngeikubali.
Mlivyo na akili za kushikiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuna Watanzania karibia 60m. Miongoni mwao hawawezi kukosekana watu wa kuimudu nafasi hiyo kama nafasi ikatolewa.Nani anafaa kuwa kiongozi?
Dawa ya Marekani nani aliikubal ?Hyo dawa angeitangaza mzungu mngeikubali.
Mlivyo na akili za kushikiwa
Sent using Jamii Forums mobile app