Alianza Museveni kutunanga sasa Cyrill Ramaphosa

Alianza Museveni kutunanga sasa Cyrill Ramaphosa

Huwajui wazungu, acha kubwabwaja.
Ila mchina mshenzi sana. Yaani kaamua kuficha maambukizi na vifo, yaani hata top 10 hayumo, halafu wazungu kawapelekea vifaa na majasusi kueneza ugonjwa zaidi, ila bongo inaonekana kakwama
 
Mi niliposikia neno undetermined linavyotamkwa nikajua tupo kwenye msimu wa kupatwa kwa nyota
 
Dunia nzima habari ni Tanzania tuu na jinsi tunavyouchezea huu ugonjwa na majibu ya mapapai wametudharau mno sasa mtapimia nini au mtatoa wapi kifaa kingine maana hata vya Uturuki vimetengenezwa China ameharibu sana bila kujua aisee
 
Nilimuelewa aliposema hakuchaguliwa huko nje, atabaki nyumbani kufanya kazi. Nikadhani labda si mpenda kusafiri kwa ndege. Anaokoa mabilioni ya safari nk.

Sasa sielewi tena inakuwaje hata teleconference nayo pia hataki!!
Kama vifaa vya kupima Covid anadai vimehujumiwa inawezekana anaogopa hata hivyo vya teleconference maana watengenezaji ni mabeberu. Yeye Yuko uvunguni anawambia wanaostahili kufa waende front.
 
Tuna viongozi washamba na malibukeni...
 
Haya haya
tapatalk_1587649492980.gif


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko Madagascar tushapigwa hela, kina Kabudi na team yake washapiga perdiem
wajaza mafuta ya ndege washapiga yaani ni kupigwa tu,kupigwa tu

Nchi tushageuzwa wote viazi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maendeleo hayanaga vyama.
Usisahau kutuletea mrejesho wa hicho kikao cha harusi
Ramaphosa alipoamua kuqafungia ndani watu wake, alishauriana na Marekani sio SADC, leo watu wanaandamana anatafuta huruma ya SADC

Tumechoka.kuwabeba watu wasio na fadhila na mandumilakuwili
 
Huwa nashangaa katika hotuba zake huwa anaongeza na KINGEREZA hata kama neno lenyewe linaelewa vizuri tu. Kwenda kwenye mikutano na wenzie hawezi, confidence level ni ndogo sana, sasa kumbe na video conference na wenzio pia hawezi awe anampa Majaliwa sasa kama vipi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaonyesha hujafatilia alichoambiwa Ramaphosa na JPM, wewe unafikra tu ndogo zitokonazo na mambo makubwa mawili, uchama/ukanda..kuna siku jirani yako nyumbani atakulazimisha uongoze familia yako kufuata misingi ya kwake na utafuata kisha udondoke vibaya! You must believe in nature ambayo hanayo mtu mwingine,wewe ni wewe na unapaswa kuongoza mambo yako maana ndo unayajua, ni hasara kubwa kukuta kiongozi akaongoza jambo kufuatia maneno ya watu ambayo ni mengi sana kila mtu na ushauli wake,ushauli mwingine ni wa kijinga na unakuta aliyo utoa ni msomi anajiita hivyo! siamini kama Rais anaweza kufuata kila aina ya maneno hasa maneno kama haya ya kwako ilihali yeye mwenyewe ana watu wake kila kona ya nchi. Si lazima afuate ushauri wa wale walioshibishwa na mabeberu

Angalizo: sina chama wala ukanda, ila naamini blacks tunaweza pia kujiongoza bila kufuata ushauri wa wafanya biashara za madawa

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Ulisha muona hata mmoja kwa macho yako kua anaumwa au amekufa na Covid, ndugu yako? Jirani yako? Rafiki yako mikoani kote? au mnadhani tunaishi nchi gani? Si humu humu mitaani tena sisi wengine ni watu wa safari sanaaaaa mikoa kwa mikoa, mbona hatuoni? ukisema watu wanakufa hospital kweni siku zote hakukuaga na misiba ya magonjwa mengine? Watu ni kama mmerogwa kama walivyo rogwa wale wa Libya miaka ile
Dunia nzima habari ni Tanzania tuu na jinsi tunavyouchezea huu ugonjwa na majibu ya mapapai wametudharau mno sasa mtapimia nini au mtatoa wapi kifaa kingine maana hata vya Uturuki vimetengenezwa China ameharibu sana bila kujua aisee

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Back
Top Bottom