Alianza Museveni kutunanga sasa Cyrill Ramaphosa

Alianza Museveni kutunanga sasa Cyrill Ramaphosa

Hivi katiba inasemaje, kiongozi kama huyu akithibitika kama hivi kuwa anamatatizo kichwani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Usalama Wa Taifa wamshauri Asigombee apumzike tu, maana tukiendelea naye miaka mingine mitano, basi Nchi yetu itazidi kupoteza dira..

Ninaamini Kazi kuu ya Usalama Wa Taifa ni kulinda Maslahi ya Nchi na siyo Individual.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maendeleo yanapatikana pengi tuu, siyo Chato tuuu
 
Niliwahi kuona akiongea na waandishi yeye na museveni kiukweli kingresa inamsumbua na kumnyima confidence!!
Maisha ya mtanzania mmoja ni muhimu kuliko maujenzijenzi yaendeleayo. Tujijali kilamtu na rohoyake jameni
Corruption is the cancer, Corruption is the disesase....

Do u like corruption?
 
Tanzania imekula kwetu, mpaka huyu jamaa aondoke magogoni itatugharimu in big time asee.. hivi watangulizi wake hawana namna ya kuokoa Jahazi kabla halijazama?
 
Kila mtu ana uhuru, kukubali au kukataaa, kwanini kumkejeli Rais wetu kwa uamuzi wake?

Kama wewe ni mtanzania pole, kama ni jirani pilipili ya shamba inakuwashia nini?

Tusubiri mwisho wa mchezo nani ataibuka kidedea. Relax

Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho kibabu kidikteta cha Uganda nacho ni role model wa chadema siku hizi?

Magufuli kachagua njia sahihi. Kwa hili anastahili pongezi. Wakati mwingine ujeuri unalipa!

Mijitu inajidekeza dekeza tu kwa mabeberu. Mkiona hao waume zenu wako lockdown na nyinyi mnajifungia.

Wameshafungua hizo lockdown. Tunawasubiri muige pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Leo kumekuwa kibabu au hujui kuwa ccm ndio walio muweka madrakani wewe Mataga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Now I get the point. President Ramaphosa opened the Sadc covid-19 meeting by expressing his regret that in an earlier meeting involving regional economic blocks he convened as chair of AU, SADC was unfortunately not represented. Tanzania was expected to represent Sadc in the meeting.
 
Tanzania imekula kwetu, mpaka huyu jamaa aondoke magogoni itatugharimu in big time asee.. hivi watangulizi wake hawana namna ya kuokoa Jahazi kabla halijazama?
Kuna watu waliambiwa wanawashwawashwa sijui walikua ni wakina nani mkuu?
 
Mwenyekiti wao mwenyewe ni dikteta
Hicho kibabu kidikteta cha Uganda nacho ni role model wa chadema siku hizi?

Magufuli kachagua njia sahihi. Kwa hili anastahili pongezi. Wakati mwingine ujeuri unalipa!

Mijitu inajidekeza dekeza tu kwa mabeberu. Mkiona hao waume zenu wako lockdown na nyinyi mnajifungia.

Wameshafungua hizo lockdown. Tunawasubiri muige pia.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo wewe unataka yeye akuabudu wewe kisa kura yako 1
Huyu ni bure kabisa..yani unataka wakuandikie barua wewe ni nani hasa?? Umekuwa mfalme? unadhani jinsi anavyowatukana wakina Kabudi- Pumbavu- ndo huo ujinga wake wataukubali hao wenye akili kumzidi?! yani kwa kweli madaraka yanalevya sana na hata kutaka kujiinua na kutaka kuabudiwa na kila mtu. huyu asipobadilika anguko lake liko mlangoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilimuelewa aliposema hakuchaguliwa huko nje, atabaki nyumbani kufanya kazi. Nikadhani labda si mpenda kusafiri kwa ndege. Anaokoa mabilioni ya safari nk.

Sasa sielewi tena inakuwaje hata teleconference nayo pia hataki!!
Tunaokoa heza za matumizi ya bando mkuu.
 
Back
Top Bottom