Alianza Museveni kutunanga sasa Cyrill Ramaphosa

Alianza Museveni kutunanga sasa Cyrill Ramaphosa

Mmmh siamini Kama kuna ukweli hapa...Museveni na Kagame ni lazima wazungumzie suala la malori kwani mizigo mingi ya Rwanda inatumia bandari ya Mombasa then through Uganda.

Sasa kwamba yeye Museveni na Magufuli had a different matter to discuss haimananishi interpretation uliyoiweka hapa...On Ramaphosa Sina comment ingawa nadhani there is an exaggeration of the whole issue
 
Now I get the point. President Ramaphosa opened the Sadc covid-19 meeting by expressing his regret that in an earlier meeting involving regional economic blocks he convened as chair of AU, SADC was unfortunately not represented. Tanzania was expected to represent Sadc in the meeting.
I think, you're giving your opinion. Accepted.
 
Tuige na kuwa na ventilators za kutosha pia
Hicho kibabu kidikteta cha Uganda nacho ni role model wa chadema siku hizi?

Magufuli kachagua njia sahihi. Kwa hili anastahili pongezi. Wakati mwingine ujeuri unalipa!

Mijitu inajidekeza dekeza tu kwa mabeberu. Mkiona hao waume zenu wako lockdown na nyinyi mnajifungia.

Wameshafungua hizo lockdown. Tunawasubiri muige pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi wa kipumbavu kabisa huu kuwai tokea

1. Umeprove failure na akili finyu ulipotoka kwenye mantiki na kumdescribe na kum-underrate mtu eti sababu hajui kizungu..

2. Yeye ni mwenyekit ana mandate ya kushauri na kutoa maamuzi pia sijaona kosa lake la wewe uliekaa nyuma ya keyboard kutaka kutuelewesha na kutuaminisha mtu alie ikulu muda huu ni mjinga eti wewe uliekaa siajabu nyumbani kwa shemeji ni mwerevu

Wa Tz mna matatzo makubwa sana na msipobadilika mitazamo hakika hata kula yetu itakua shida sana



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani kamuita akatae? Wanambypass( pass over). Walikuwa hawajampuuza bali sasa ndio wanampuuza for sure. Mkutano wa AU bila m/kiti wa SADAC! Janga mbona tunalo!
Huo uenyekiti analipwa shilingi ngapi? Tulishakomboa nci zao imetosha ,ngoja kwanza tukomboe na ya kwetu.
 
Niliwahi kuona akiongea na waandishi yeye na museveni kiukweli kingresa inamsumbua na kumnyima confidence!!
Maisha ya mtanzania mmoja ni muhimu kuliko maujenzijenzi yaendeleayo. Tujijali kilamtu na rohoyake jameni
Kikwete Kikwete ama kweli umetuweza. Tutakulilia hadi mwisho!
 
Wasituzingue dawa tumesha pata. Hao ni mabeberu
IMG_20200509_002336.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom