Alianza Museveni kutunanga sasa Cyrill Ramaphosa

Alianza Museveni kutunanga sasa Cyrill Ramaphosa

Ttzo lugha labda hata hakuelewa
Alikua anaambiwa nn na huyo wa SA

stidy
Sidhani, according to Ramaphosa, yaelekea lugha halikua tatizo but misimamo ndio waliotofautiana, huyu anataka KIKAO kifanyie, huyu anataka aletewe mapendekezo kwa njia ya maandishi so sikubaliani na wengi kwamba eti mhe lugha inamsumbua; kama ni kuongea Kingereza fluent, hilo ni tatizo kubwa kwa Tanzania kwa almost wasomi wote wa Sayansi isipokua kidogo madaktari but mainjinia, watu wa Chemistry, wabunifu wa majengo na wasanifu, wote hawa kingereza cha kuongea huaga ni shida kwao., Yai huaga linatoka vizuri kwa Wahasibu, wana sheria nk
 
Unataka aje nani ?.
Mungu au malaika aje akwambie hyo ndo dawa ya corona?
Hapana dawa hiyo ingetangzwa na mzungu ndio tungeipinga zaidi ya hivi mara kumi. Nadhani ungejiuliza huo ugunduzi tulionao ni kwenya dawa tuu baaaasi. Ila kwenye mambo mengine hatuna kabisa ugunduzi. Afya ya bindamu ni muhimu sana wewe gundua dawa leo tuambie ni mchanganyiko gani na inafanyaje kazi na ina makandokando gani, tutatest tukithibitisha baaasi. Dawa zinazokubalika moja kwa moja bila maelezo ni limbwata tu labda na chuma ulete

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi simlaumu nawalaumu hao waliompa uenyekiti.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uenyekiti una zungushwa katika nchi wanachama pamoja na uenyeji wa mikutano ya mwaka. Nchi inayokuwa mwenyeji wa mkutano wa mwaka, rais wake huchaguliwa kuwa mwenyekiti na hudumu kwa mwaka mmoja. Kama nakumbuka vizuri mwaka jana Tanzania iliandaa mkutano na ndipo JPM akachaguliwa kuwa mwenyekiti.

Labda pawepo na marekebisho ya katiba ya Jumuiya ili kiongozi wa nchi anayepaswa kuwa mwenyekiti katika mwaka husika awe na hiari ya kukataa kwa sababu zake ambazo zitakubaliwa kikatiba. Mtu anaweza sema yuko busy sana na mambo ya nchini kwake nk.😂
 
TUPO WENGI SAANA , ZAIDI YA 99% YA WATANZANIA TUNAWEZA KUWA BORA KULIKO YEYE

Mm naweza kua rais bora mara 1000. Ujanja ni kukubali ushauri wa wataalam kutoka idara mbali mbali na kutoa tamko Wengne wanasimamia huku ukifuatilia kwa ukaribu. Usigeuke kua kikwazo kwa watendaj wako. Sio kujifanya bingwa wa kila kitu; sheria, udaktari, uhandisi, ualimu, urubani, .
 
Kwa kuwa ameikimbia ikulu natamani ajitokeze mtu wa kuchukua hyo nafasi yake km Ramaphosa alivyochukua ya AU!
 
Usisahau kutuletea mrejesho wa hicho kikao cha harusi
Ramaphosa alipoamua kuqafungia ndani watu wake,alishauriana na Marekani sio SADC,leo watu wanaandamana anatafuta huruma.ya SADC
Tumechoka.kuwabeba watu wasio na fadhila na mandumilakuwili
Wewe umbebe nani? Labda hilo dubwana lililoko mapangoni huko nchumbiji.
 
Tanzania imekula kwetu, mpaka huyu jamaa aondoke magogoni itatugharimu in big time asee.. hivi watangulizi wake hawana namna ya kuokoa Jahazi kabla halijazama?
Ni kwa sababu kukosa tu huo mkutano!
 
Mimi simlaumu nawalaumu hao waliompa uenyekiti.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ule Wenyekiti si wa Magufuli bali ni wa Tanzania na huzunguka toka nchi had I nchi mwanachama. Waanzilishi wa SADC hawakujua Tanzania iliyosaidia kwa hali na mali nchi wanachama kupata Uhuru wao, siku moja itapata Rais kama huyo. Watanzania wengi pia hawakujua kuwa kwa hiari yao watachagua MTU kama huyo kuwa kiongozi wao. Walirogwa?
 
Kichekesho kingine kutoka viunga vya lumumba. [emoji1787] [emoji1787]
Karne Hii ya sayansi Magufuli bado anataka ajaze mabarua ofisini kwake. Ndio maana alisema ingekuwa amri yake mitandao ya kijamii isingekuwepo. Huyu jamaa ni very primitive. Hata Nappe ktk zile clip alisikika akisema jamaa sio tuu muoga ni mshamba kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom