Lituye
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 1,864
- 5,697
Wiki kadhaa zilizopita Rais Museven aliandika ktk twitter kuwa aliongea na Marais wenzie Kenyata, na Kagame kuhusiana na janga la corona. Akasema ila kwa Magufuli waliongea jambo tofauti. Akasema wamekubaliana na Marais wenzie Uhuru na Kagame namna bora ya kushughulikia madereva wa malori. Wenye Akili tukajua Museven katupiga dongo kuhusu huyu kiongozi wetu kuwa hana dira na hawezi kuwa na hoja za ushawishi kimataifa.
Sasa hivi Rais Cyrill Ramaphosa amesema alimpigia simu Magufuli ambae ni Mwenyekiti wa SADC kumshauri aitishe kikao ili kujadili namna ya kupambana na corona. Magufuli akakataa na kutaka waandike kwa maandishi.
Rais Cyrill Ramaphosa kaitisha kikao kwa njia ya video ikishirikisha Marais zaidi ya nchini tano bila kumshirikisha Magufuli. Manana yake ni kuwa wamemdharau na kuwa wameona hana dira kwao.
Kifupi ni kuwa ukiona wewe ni Mwenyekiti umetoa mapendekezo yako yamekataliwa. Halafu mtu mwingine anaitisha kikao na wajumbe wanahudhuria kwa wingi kujadili jambo ulilo likataa wewe mwenye Akili anajua Mimi sitoshi ktk nafasi hii.
Kumtetea Magufuli kwa sasa unahitaji moyo wa chuma. Hata Marais wenzake sasa wanatuonesha kuwa Watanzania tuna mzigo mzito. Huyu jamaa hafai kuwa kiongozi.
Badae nikajiongeza kujua kwa nini anaogopa hata mikutano tuu ya kwa njia ya mtandao ambayo haikulazimu kusafiri? Manana huyu jamaa hajawahi hudhuria mikutano ya kimataifa nje ya nchi.
Hivi utawashawishi vipi Marais wenzako kuwa wew unapima Mapapai na Mafenesi na kubaini kuwa yanaugua corona?
Au ukawaambia kuwa unaagiza dawa toka Madagascar wakati vipimo vya maabara yako havina uwezo wa kupima nani mgonjwa na nani sio mgonjwa?
Habari za kuwa eti ile lugha ya Queen Elizabeth pia ni tatizo kwake mimi sijui bnaa. Kwani si angeweka tuu dictionary karibu yake na kuangalia misamiati mipyaa.
Maendeleo hayanaga vyama.