Msakaa Jr
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 7,451
- 7,930
Uwenyekiti waliipa TZ sasa bahati mbaya ndio ikandokea hapoMimi simlaumu nawalaumu hao waliompa uenyekiti
Hiyo dawa ya madagascar watatumia watu wenye mitazamo ya kishirikina. Nakumbuka kikombe cha babu, zaidi ya 95% walioenda ni wale wanaoamini ushirikina. Nakumbuka hata mkulu alienda kwani ni mtu anayeaminika zaidi ushirikina.
Imekuja kiasi gani?
Ila mchina mshenzi sana. Yaani kaamua kuficha maambukizi na vifo, yaani hata top 10 hayumo, halafu wazungu kawapelekea vifaa na majasusi kueneza ugonjwa zaidi, ila bongo inaonekana kakwamaYa kuwatosha wagonjwa wa corona..
Corona inakimbiza sana ulaya Asia na marekani zote.
Cha ajabu mbowe anaona anafichwa taarifa.
Hivi tungekuwa tunakufa hivyo kama wenzetu si kila mtaa ni maiti? View attachment 1444348
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah yaani Ramaphosa ambae nchi yake imetoa $26bil (bajeti nzima ya Tz) kama stimulus package kwa ajili ya Covid ije idatishwe na sisi tunaomba mkopo wa $190mil kwa ajili ya hio Covid?,hahah kweli maajabu hua yapo aisee.Mwl Nyerere alikuwa anaogopeka na viongozi wote wa Africa, tena wapapatikia mabeberu hawakutaka kabisa hata kujua kama Mwl yupo. Dkt Magufuli anaturejeshea heshima yetu. Lazima huko aliko Ramaphosa kadata, hajui bosi wake Dkt Magufuli anawaza, yaani intelijensia ya Tz iko viwango. Raila kajifanya kutumiwa na mabeberu wapi kalamba ghalasa, na hapo ndipo naipenda Tz
Ukute kuna Houseboy analala na house girl tu hapo Magogoni kwa raha zao.....wakimaliza wanaenda kule garden wanakula good time. Watu tunaumwa huku!!Katoroka ikulu halafu anaagiza wabunge watoro wasilipwe wakati yeye ni mtoro wa lkuru.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu huyu wa Tanzania au wa nchi gani??Usalama Wa Taifa wamshauri Asigombee apumzike tu, maana tukiendelea naye miaka mingine mitano, basi Nchi yetu itazidi kupoteza dira..
Ninaamini Kazi kuu ya Usalama Wa Taifa ni kulinda Maslahi ya Nchi na siyo Individual.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi nashangaa
Mwl Nyerere alikuwa anaogopeka na viongozi wote wa Africa, tena wapapatikia mabeberu hawakutaka kabisa hata kujua kama Mwl yupo. Dkt Magufuli anaturejeshea heshima yetu. Lazima huko aliko Ramaphosa kadata, hajui bosi wake Dkt Magufuli anawaza, yaani intelijensia ya Tz iko viwango. Raila kajifanya kutumiwa na mabeberu wapi kalamba ghalasa, na hapo ndipo naipenda Tz
Kuna nyingine ya kule Tabora
Huyo anadhani bado tupo enzi za zidumu, enzi za nyerere wakenya walitucheka sanaNani alikuwa anamtetemekea Nyerere ww? Ulikuwa unasikiliza redio Tanzania na kusoma magazeti ya propaganda mfu za ccm, ukawa unaaminishwa kuwa Nyerere anasikikizwa sana. Sasa hizo hadithi zako za kizee ndio unataka kutulisha na sisi huo ujinga? Heshima gani Magufuli kairudishia nchi hizi, kiongozi anayetumia madaraka yake kunajisi chaguzi za nchi ndio ataweza kurejesha heshima ya nchi?
Ipi hio?Nadhan mpaka sasa, Rais Magufuli yuko njia salama japo ni ngumu na wengi hawatoikubali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaefaa kuwa kiongozi ni yule mtu mwenye uwezo wa kuwaongoza wenzake!!Nani anafaa kuwa kiongozi?
Duh, kweli JF kuvamiwa na products za kata ni shida sana. Unaelewa nini kuhusu Nyerere Wewe? Nani kakuambiwa alikuwa anaogopeka na viongozi Afrika na sio kupendeka? MTU mnayemkimbilia ushauri mtakuwa mnamuogopa? Ngoja niachie hapo maana naona hata kunielewa huta nielewaMwl Nyerere alikuwa anaogopeka na viongozi wote wa Africa, tena wapapatikia mabeberu hawakutaka kabisa hata kujua kama Mwl yupo. Dkt Magufuli anaturejeshea heshima yetu. Lazima huko aliko Ramaphosa kadata, hajui bosi wake Dkt Magufuli anawaza, yaani intelijensia ya Tz iko viwango. Raila kajifanya kutumiwa na mabeberu wapi kalamba ghalasa, na hapo ndipo naipenda Tz