sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
Eti video haitavuka boda maana haieleweki?? Cabo Snoop alikuja bongo na nyimbo ambazo hamuelewi kaimba nini, video zenyewe hazieleweki mara kakata mauno kidogo beat inazimwa anapiga story weee then beat inaachiwa, Cabo Snoop anaendelea kukata mauno ila mwisho wa siku mlijazana ukumbini kwenda kumuangalia japo hamumuelewi.
Oyaa Kiba endelea kufanya yako, achana na hawa haterz.
Oyaa Kiba endelea kufanya yako, achana na hawa haterz.