njang'et
JF-Expert Member
- Dec 30, 2014
- 758
- 227
nyangumi ww, mwana dsm tuoneshwe mambo ya SA au UK kwani tungeona mitaa yetu ya bongo kulikuwa tatzo
hao ndo wanampa sifa mtu hata kama amechemsha .
nyangumi ww, mwana dsm tuoneshwe mambo ya SA au UK kwani tungeona mitaa yetu ya bongo kulikuwa tatzo
mi ni fan wake ila nimeshangaa sana
sijui Godfather hawakumuambia nyimbo inahusu nini?
alipokuwa anatembea angalau angekuwa kama anaangalia labda mtoto nje ya geti anagombana na wazazi kisha anaondoka
then scene nyingine yuko anakula drugs huku kiba anamsikitikia akiendelea kuimba
video ilihitaji ka story, iko flat mno
Kuwa unpredictable ni kitu moja safi sana. Watu waache kukariri. Naunga mkono hoja yako.