Ali Kiba - Mwana Dar es Salaam (video)

Ali Kiba - Mwana Dar es Salaam (video)

Watch "Alikiba - Mwana (Official Music Video)" on YouTube - http://www.youtube.com/watch?v=hT8lfg-3l5U&feature=youtube_gdata_player
 
Sorry link imegoma lkn unaweza kuicheki youtube, ukatupa maoni yako. Binafsi kwa Alikiba ninayemfaham mimi hasa linapokuja suala la video nasema amejitahidi
 
Umefika wakati kwa wasanii kuwa wabunifu, sio kila video utakayofanya na Godfather u shoot South Africa, kwa jinsi wimbo wa Mwanadsm ulivyokua nadhani ilikua ni wakati muafaka wa AliKiba kuwaita Godfather Tz waishoot ki Uhalisia,
NB: Sina team
 
Amejitahidi sana,nilitegemea mbwembwe nyingi lakini imekuwa tofauti
 
Video ni clearly sanaaaa but mahadhi ya iyo nyimbo na video ni tofauti sanaaaa then kama imepoa sanaaaa iyo management mbovu kiba

Hahaha sasa management imempa mpaka video kubwa kashindwa mwenyewe ulitaka wamfanyeje! Hii management aliyonayo akisema nayo haifai sijui atafaa nani.
 
Kuna Dogo alifanya video ya "Kabla hajatoka Dayamondi" anaitwa Dogo S Kide kamfunika Kiba, unaimba Mwana DSM unashindwa kuonesha mitaa ya DSM, unashindwa kumwonyesha mtu yuko kwenye mishe mishe za Kimwana DSM, unashindwa kumwonesha alivyokuja kutaabika.

Inabidi Salam Jabir arudishe kipindi chake cha kuchambua video za wasanii wetu kama enzi zile za Planet Bongo!
 
Back
Top Bottom