mc luggy
JF-Expert Member
- Mar 6, 2013
- 454
- 102
Hahaha sasa management imempa mpaka video kubwa kashindwa mwenyewe ulitaka wamfanyeje! Hii management aliyonayo akisema nayo haifai sijui atafaa nani.
Hapa hakuna ingekuwa nzur video icngekuwa tofaut ivo u clearly huo co wa management baba apo ni utaalamu tu wa mashooter ila maelekezo yote hutoka kwao so hawakumsaidia apo baba