Ali Kiba - Mwana Dar es Salaam (video)

Ali Kiba - Mwana Dar es Salaam (video)

Kuna mstaarabu mmoja kashanijibu vizuri nikaelewa na kumshukuru sasa wewe sijui umetoka wapi na maneno yako ya kishamba!Wapi nimekariri?

Okey, samahani! Nilidhani na wewe ni mmoja wa watu ambao walishatengeneza video kichwani, yaani kukariri lazima kuwe na maigizo. Samahani kwa kukuelewa vibaya. Nimeona huyo mdau alivyokuelezea, yaonyesha ni kweli nilikuelewa vibaya. Pamoja!
 
Okey, samahani! Nilidhani na wewe ni mmoja wa watu ambao walishatengeneza video kichwani, yaani kukariri lazima kuwe na maigizo. Samahani kwa kukuelewa vibaya. Nimeona huyo mdau alivyokuelezea, yaonyesha ni kweli nilikuelewa vibaya. Pamoja!

Usijali ndugu yangu,huo ndo ustaarabu.Pamoja sana.
 
Hii video ni nzuri sana ila inategemea na angle gani unaiangalia.
 
Mimi naamini Director na Team nzima ya Production waliipitia vizuri sana video hii kabla hawajai Launch,
So ni Brilliant idea from AliK..tatizo wabongo tumekremisha Maigizo kama ya Ndomo...Video nzuri sana
 
Iyo video c level ya diamond hakuna alichofanya hapo
 
Haya ndio matatizo ya kuchelewa sana kutoa video baada ya wimbo ku hit, watu wanakua wanaujua sana wimbo na wanatengeneza video zao vichwani

Naamini kama wimbo ungetoka na video kwa pamoja isingekuwa haya yote

Btw video kwa maana ya quality ipo poa sana kuliko video yoyote ya Kiba aliowahifanya
But ukiiangalia theme yake utaona theres something somewhere is missing
 
Unajua, hapa ww ndio hater.

Ile video kiba kachemsha kutokuweka maigizo, trust me. Yaan video ya kara jeremiah mpya ni nzuri kuitizama kuliko ya kiba.

sio tu video ya Kala Jeremiah bali ni rahisi kuirudia video ya Prof. Jay zari la mentali na bado hamu isiishe kuliko kuitazama Mwana DSM yaani No action ,No reality.
 
Mimpaka sasa najiuliza pale kwenye kioo wakati anajiangalia alikuwa anamaana gani?it something km anajiambia yy mwenywe ivi ebu mwenye idea juu ya ile scene pale anitoe ukungu basi...wadau.
 
All in all video ni nzuri in terms of quality ya picture and all that. Speaking of the script inategemea na director so kama alichotaka kutuonyesha ni style za kucheza its fine kafanikiwa kwa kiasi kikubwa kutuonyesha
 
Ni ujinga kudhani kila video ni lazima iwe na matukio ya maigizo. Ni video bora sana kwa Picha na mpangilio wa matukio.
Isitoshe hata Kiba mwenyewe ametenda haki kwenye camera, dancing ya ukweli na ametawala video vizuri.
Ova

Tatizo bongo wamekariri ndio maama wanaponda. Wangeponda nyimbo ya adele someone like you. Video nzima anatembea tu.
 
wamechemka 1st of all video haindani na maudhui yanayo imbwa pia wangeifanyia darisalama kama anavyoimba
 
Nimeangalia maoni ya wengi nikatambua baadhi yenu hamjui nini maana ya sanaa na kwa kiba kama kiba kalenga soko la kimataifa na sio kitaifa kama alivyofanya kwenye video ya Mac Muga alipotumia maigizo ila kwa kuwa muda umekwenda huwezi kuweka maigizo na ukiweka lazima uvume dheni utabuma tu kwa muziki wa sasa.
 
Tatizo bongo wamekariri ndio maama wanaponda. Wangeponda nyimbo ya adele someone like you. Video nzima anatembea tu.

Au Uswahili Matola na wimbo wao Tatizo La Marehemu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom