Ali Kiba - Lupela

Ali Kiba - Lupela

kiba na mashabiki wake wote vipofu....na kipofu akimuongoza kipofu mwenzie wote hutumbukia shimoni...i'm done
 
kiba na mashabiki wake wote vipofu....na kipofu akimuongoza kipofu mwenzie wote hutumbukia shimoni...i'm done
 
Cheki shughuli ya Young killer --popote kambi ft Juma Nature halafu kiba anatuletea uchafu mnataka wote tusheherekee kwa kipi.
 
Mmmmh tatizo location inaonekana amefanyia kwenye lift moja nafikili huyo director wake ndo kamuaribia kiukweli haivutii
 
mbona naona video ya kawaida sana. Na nashindwa kuelewa kwanini tufananishe kila kitu na diamond?
Simjuii Ali lKina ila sidhani kama anashinda na diamond bali kisoko tu;ndio ushindani huo.

tuache kuuza issue hazina maana
 
Mimi nimeipenda hii video mahali alipoweka kampeni ya kutowaua tembo.

Kweli, jamaa ni Balozi wa Wanyama. Big up King.
 
Kumwambia ukweli ni kumsaidia ili ajue anakosea ili kesho arekebishe. Kuendelea kumsifia kwa video mbovu kama hii ni kumpotosha na kumfanya aendelee kuharibu. Kiba hapa umechemka kuliko kawaida.
 
Video nzuri sana tu, mimi binafsi nimeipenda...

Ukiona mwanaume kazi yako kubwa kusubiri mwanaume mwenzako afanye kazi then wewe ukae kijiweni ukosoe ujue una matatizo makubwa sana... Ali Kiba kuweka kipande kinachoonyesha Tembo kwenye Video yake imekuwa kesi ila Dimondi alimweka Dr. Mwaka na wala hakuna aliyekosoa wala kusema chochote...

Ambao hamjaiona video hii hapa..


Broda,I love this....
Uwiiiiii umenifurahisha mnoooo!
Nakosa maneno stahiki ya kuelezea hili....
Thanks.
 
Mtoa maada , ahsant kwa maada yako lakn kiba kwa diamond atasubir sana, video haina hata mzuka wa kuangalia mara mbil, ebu angalia video ya diamond then compare "kama namuona mama angu, roho yang tiffah dangote yani ni shidaaaah full hisia hahahaha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom