Ali Kiba - Lupela

Ali Kiba - Lupela

Watu tulishasema hapa kitambo huyu kijana si mwanamuziki ila analazimisha tu...sasa ni upuuzi gani huu sasa?
Yaah si mwanamuziki ndo maana hata project ya one8 wanamuziki wa Afrika walipoimba na king of RnB R.Kelly jamaa alifukuzwa then nafas yake akaimba mwanamuziki Daimond... Kweli sana aysee ahsante umenkumbusha kijana.
 
Daaaah ila wabongo mmezidi kufunguka mpaka king anaogopa kutoa kideo...

Tumpake mafuta hata kwa mgongo wa chupa tu, hata kama wimbo mbovu sio mbaya sana kawaida tu maana hata siku za nyuma alishasema ukitoa sana nyimbo kipaji kinaisha sijui alishaona upepo unaelekea kubaya...

Hongera king kiba... Nguvu ya maex wa diamond inatakiwa iongezeke zaidi kuupa kiki wimbo ufanye poa...
 
playboy baabu,nna wasiwasi na psychological stability yako huko kichwani kwako,au ndo kusema tangazo la vodacom alilofanya chibu,na kuifunika kabisa official release ya Lupela limekuaffect adversely to such an extent?
 
Endelea kushabikia vibovu lkn nyie ndio mnaokwamisha maendeleo ya msanii wenu
Maendeleo ndo kufanya video Nigeria ??...au kuwakeshesha watu wakupigie kura ili upate tuzo?..hahahahaaaaa jitafakari bro... Diamond namwachia belle tu anamtosha kwa kiba mbali sana
 
Maendeleo ndo kufanya video Nigeria ??...au kuwakeshesha watu wakupigie kura ili upate tuzo?..hahahahaaaaa jitafakari bro... Diamond namwachia belle tu anamtosha kwa kiba mbali sana
Unaongea uku unaona aibu najua hapo ulipo.. acha kujitoa ufaham ndugu
 
playboy baabu,nna wasiwasi na psychological stability yako huko kichwani kwako,au ndo kusema tangazo la vodacom alilofanya chibu,na kuifunika kabisa official release ya Lupela limekuaffect adversely to such an extent?
NIMEMUONA jackline wolper kwenye video ya UTANIPENDA hivi alikuwa demu wa nani yule?...kick pia siyo?...hahahahahaaaaa jokate tunakula japo mlimtaja kwenye nyimbo mbili na Wema anakubali vitu vizuri na ndo maana ni Team kiba isiwaume bro hahahahaaaaa kibaaaaa...
 
Wimbo mzuri sema una kelele sana.
Wimbo una dakika 2.49 ila kiitikio kimeimbwa dakika 1.30, sekunde 20 za mdundo kabla ya kuimba na sekunde zilizobaki ndio verse.
Neno Lupe Lupe limetamkwa zaidi ya mara 60.
Ukiusikiliza utadhani unasilikiliza addicted wa Machozi

Asante Kiba, ila jipange walau ufikikie level za Baraka Da Prince



kama unasikiliza nyimbo za Electro house hautoshanga . hiyo ndio Electro House maneno kidogo beat mda mrefuu.
 
Kwa Malkia Kiba kilichobaki tu sasa ni kusubiri Domo na Zari wamwagane ndipo aopoe Zari aitwe "King of Mizoga" na kuandikwa magazetini.
wabongo tushazoea mondi anaimba afropop zile za tudd na kiba anaimba zouk-rhumba zile za manwater, sasa now abidady kanipigia beat moja ya kibabe sana ya electro, mziki ambao hatujauzoea
 
Namkubali Alikiba ni mtunzi mzuri ni mwimbaji mzuri na ana sauti nzuri sana, ila video zake mara nyingi haziendani na anachoimba.

Ukiangalia hii video yake haileti hamasa ya kuendelea kuiangalia, haivutii na haina udadisi.

8f531b79d056fc9bfdf9351491317dbe.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom