Ali Kiba - Lupela

Kwanini linapokuja suala la Dimondi lazima mumuingize na huyo Ali Kiba?? Hapa tunachojadili sio huyo Kiba and after all mimi sio mpenzi wa Ali Kiba wala mpenzi wa mziki... I just love good music ila linapokuja swala la kupambanisha ndipo nawaona nyote wa pande hizi mbili hamna maana... Nilishagombana sana na watu wa Ali Kiba humu kwa hichi hichi cha kumtukana Diamond.. Ukienda kwenye ule uzi wa sticky wa Ali Kiba utaniona nilivyosumbuana nao humu...

Basi nikubali hiyo show Dimondi ndiye alikuwa Main Artist, basi tupe na show zingine za Lagos, Accra, Benin City, Pretoria, Durban, Cape Town, Windhoek, Maputo ambazo Dimondi amepiga huko kama Main Artist au Artist wa kawaida... Ondoa zile anazoperform kwenye Special Events.. Hapo ndiyo concern yangu ilipo. Hawa akina Davido, Wiz Kid wanapiga show kote huko..
 
Ila mbona nzuri kutokana na style ya ile nyimbo mbona wengine wanatoa vikatuni tu hamsemi
 
Ngoja nikupe ya Congo ambapo alikuwa main artist na halikuwa la tukio,maana za Accra,pretoria,durban, Marutius na Lagos zote zipo ila utaleta habari oooh achana na za matukio.Hii ni video kabisa kaa ufaidi shoo la kiumeni chezea DIAMOND wewe.
 
Ngoja nikupe ya Congo ambapo alikuwa main artist na halikuwa la tukio,maana za Accra,pretoria,durban, Marutius na Lagos zote zipo ila utaleta habari oooh achana na za matukio.Hii ni video kabisa kaa ufaidi shoo la kiumeni chezea DIAMOND wewe.
Acha utoto basi... Huko Congo, Burundi wote ni waswahili wenzetu..

Nimekuomba uniletee za miji mikubwa aliyofanya show hapa Africa... Kama Congo sijui Burundi hata Mr. Nice alishafanyaga huko..

Tanzania hakuna msanii yeyote ambaye alienda kupiga solo show au yeye awe main artist nchi za wenzetu hapa Africa (ukiutoa huu ukanda wetu).. Sio AY wala Diamond wala Ali Kiba.. Hata ukiangalia show za wasanii wetu wakienda Ulaya unakuta wamejaa waswahili wa East Africa tu tofauti na akina P-Square show zao majuu unaziona ngozi nyeupe nyingi tu sio za kutafuta.. Hili tukubali tu, Diamond ni Msanii Mkubwa anayeiwakilisha East Africa ila kwenye wasanii wakubwa Africa hawezi kuwa kwenye tano bora labda kumi bora..
 
[emoji40] [emoji40] [emoji40]
 
ndugu...
ebu fanya kututumia za ali kiba ambazo ameshiriki huko accra,lagos,pretoria..!
diamond hana...
tutumie za KING kiba..!
 
Bado sanaaaa! Jibu machine ingine bana!
 
Nimekusoma mkuu
 
Hivi video ya five seconds ya Rihhana ft kanyewest walivaa tofauti?walibadilisha location?
Lakin ni moja ya video nzuri za 2015
 
Hivi video ya five seconds ya Rihhana ft kanyewest walivaa tofauti?walibadilisha location?
Lakin ni moja ya video nzuri za 2015

Mkuu commnets za kwenye mitandao usizichukulie serious, hasa hasa issues za Wema, Diamond na Kiba!

Ushabiki ni mwingi kama Yanga na Simba, hatuhitaji logics kubishana, as long as mimi siyo Team Kiba basi kila kitu cha Kiba nasiliba na kusifu cha Diamond hata kama ni famba.

Kwa hiyo chukulia kawaida mkuu.
 
Kosa kubwa la AJ ni kumsifia Ali K bora angesifia video ya Kingwendu ile ya mapepe sisi wapumbavu tungempongeza kwa hilo na hakika tunamtangaza Adamu kama adui mkubwa wa muziki wetu na hatuwezi kumsamehe,kabla ya post kuhusu Lupela AJ kaisifia video ya Fid Q inaitwa Walk It Off ila tumekausha sisi tatizo letu Ali K tu.
 
Hivi ni tracks zipi zinamuweka Diamond ktk level ya wasanii wakubwa Afrika?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…