Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Yaani lol leo nimefurahi sana hahahaaaaaaa....
BEST MALE DAVIDO.
BEST MNENGUAJI DOMO...
hahahaaaaa sasa nani kamwwzeaha mwenzake kutoka kimataifa? Tehe teheeee weka mbali na watoto.
Mashavu yamewashuka majirani hahahaaaa.
My MOTTO NI ULE ULE VOTE FOR DAVIDO BEST MWANAMUZIKIII
 
Man of the night 🔥🔥🔥

Kavaa vizuri kumbe anapokea tuzo ya ukataji viuno. Nimecheka sana leo lol.
Nilikuwa sijui kama domo ni mcheza shoo na sio mwanamuziki.
Davido ni mwanamuziki bora Afrika..
Ali kiba ni mwanamuziki bora wa tanzania...
Heheheiyaaaaaaaaaa
 
We came, We saw, We conquer
 

Attachments

  • 1437260296592.jpg
    1437260296592.jpg
    95.1 KB · Views: 115
Msiba mkubwa sana unakuja pande hii masaa machache yajayo.

Hahahaaaaaaa poleeeee.
Sisi tuna ushindi yaah mwanamuziki bora wa AFRIKA NI DAVIDO.
KWA TZ NI KIBA hahahaaaaa
Sisi ni team muziki muzuriii unaoimbwa na watu wanaojuaaa
 
Mmemsikia kakaenu pamoja na chairman wake?? Baddest.... 🔥🔥🔥

Hahahaaaa team shilole huhuhuhhhhhhhhhhhuuu mbwembwe zote mfukoni nyang'aaaaaau.
Team kiba hatulambi ndimu kizembee....
Mmeziandaa mkazila wenyeweeee
 
Seems people are thirsty here grab you're glass

HahahaaAa aya anza kunywa sasa..vipi nitilie sukari mbona unameza sura umekunja ivyo?
Ngumu kumezaaa ila lazma uelewe mwanamuziki bora Afrika ni Davido.
 
N
HahahaaAa aya anza kunywa sasa..vipi nitilie sukari mbona unameza sura umekunja ivyo?
Ngumu kumezaaa ila lazma uelewe mwanamuziki bora Afrika ni Davido.

Na we elewa best live act Africa nzima n ICON WA TANZANIA MHESHIMWA DIAMOND PLATINUMZ
 
Kiba fans usiku mwemeni...lol ninafuraha sana majirani walikuja kwa kasi ghafla wakazima kama moto wa mabua.
Panapo majaaaliwa
 
Diamond ndo msanii wa kwanza kuchukua MTV awards kutoka Tanzania
 
Hii suti aliovaa diamond leo n hatari sn mnaweza nisaidia sehemu alionunua nami nikanunue

Hehhehehe

Hii kawafanyia waliompa kura au haters waliosababisha akaambulia kamoja!!!!!!!????

Huyu dogo sjui kama huwa anajielewa sometimes.
 
Mi sijaelewa vizuri, kwani kuna mtu kaibiwa??? CUTE b pwilo aaaaah Shardcole niajeeeeee
 

Attachments

  • 1437276910901.jpg
    1437276910901.jpg
    31.2 KB · Views: 120
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom