Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Oooh kwema sana momieee,

Pole kwa likizo, nakuona ulivyokonda, wish utafidia palipopungua wiki tatu mfululizo bila uwepo wako hapa si mchezo, nadhani hata cute b atarudi sasa.!!

BACK TANGANYIKA

Ndugu sasa hivi nikisema niende kushiriki Miss Tz hakuna jaji ambaye hatonipitisha maana nimekonda balaa, though mie sio bonge ila sasa ndio nimekua super model...
Nafurahia hii hali thou.

Ndio nimesharudi hivyoooo, cute b lazima nimchombeze arudi...hachomoi nakuambia.
 
Last edited by a moderator:
arrogant kiba he does not post this in IG since he deslike competion with dai that y is silent #kingkibaaaAAAA
 
Attachments

  • 1437218616296.jpg
    1437218616296.jpg
    43.4 KB · Views: 105
  • 1437218681061.jpg
    1437218681061.jpg
    34.2 KB · Views: 97
Kiba kazidi jamani, hadi hua ananikera sometimes hata kama hapendi show offs ila akumbuke huu ni muziki lazima atangaze.
Show offs za maisha binafsi ndio upuuzi ila kazi poa tu.
nifah kiba mi naeza sema anazarau halafu anajiamini akiamua kitu no one can change labda mungu video ya bella na audio kimya but is done #hadi anaboa alitakiwa atume hata kipande cha wimbo alioimba na bella insta lakini wapi kimyaaa #anazingua sana
 
Huyu Kiba huyu? Ana bahati mimi ni shabiki wake wa ukweli hivyo sina jinsi zaidi ya kukubaliana na hiyo style yake ya muziki maana ndio siwezi kumkimbia sasa....

Halafu kingine ambacho naona ni sababu kubwa ya yeye kufanya hivyo (kuendelea na ile style ya kizamani ya kurelease audio kwanza kisha video ifuatie) kukwepa haya majigambo ya majirani zetu ambao kila anachokifanya wanamkejeli kua kaiga.
 
Last edited by a moderator:
nifah kiba mi naeza sema anazarau halafu anajiamini akiamua kitu no one can change labda mungu video ya bella na audio kimya but is done #hadi anaboa alitakiwa atume hata kipande cha wimbo alioimba na bella insta lakini wapi kimyaaa #anazingua sana
Na kama wana mpango wa kuitoa waitoe mapema mana tunaelekea kwenye uchaguzi attentions ndo zitakua huko. Mi naona wangeitoa mapema ka wali plan Ku u release this year or later after election.
 
Last edited by a moderator:
Na kama wana mpango wa kuitoa waitoe mapema mana tunaelekea kwenye uchaguzi attentions ndo zitakua huko. Mi naona wangeitoa mapema ka wali plan Ku u release this year or later after election.

Umeona mbali sana shoga angu, ni kweli maana fikiria hapa hadi sasa UKAWA hawajatangaza mgombea wao na kama akichelewa wakimtangaza tension yote itahamia huko...hapo bado wakati wa campaigns maana huwa zinavuta hisia za wengi.
Halafu tuingie kwenye uchaguzi wenyewe sasa, ni vyema kutoa hiyo audio na video kwa pamoja kabla ya hekaheka za uchaguzi ambazo mwaka huu zina msisimko mkubwa sana.
 
Yani wajitahidi tu wa i release mapema na akitangazwa mgombea wa UKAWA ndo itakua habari ya mjini na hizi movement za wagombea. Watu lazma wata pay attentions huko mana ni vtu vinavomgusa kila Mtanzania.
Wajitahidi aisee la sivo wimbo hauta sikilizwa mana huo upepo wa uchaguzi ni zaidi ya kimbunga cha Katrina.
 
Nilikuja mbona kesho yake ni kacomment ikafutwa hapo hapo nikaona sio kesi nishawekwa kwenye rada.
Nyie zenu zilibaki yangu ikafutwa nikasema sio kesi nikahamishia vurugu insta na nipo pia nalinda Tembo

Kama kawa.
Posts 0 followers 0 following 0
Tutaelewana tu na watukanaji wote!
 
Back
Top Bottom