Kusema ukweli kutoka moyoni mwangu mimi si shabiki wa diamond platinumz wala ali kiba sana sana napendelea music ya weusi,fidq na ben poul japokua kuna vinyimbo huwa navipendaga pendaga vya wasanii wengine wa bongo ila mostly of the time nashabikia sana music ya huko mbali ila today when i was watching diamond's sikutarajia kwa kweli for the first time nimekua proud na this guy naweza sema yeye ndio kafanya show nzuri sana nina rafiki yangu ni mbostwana ila leo he was live kwenye event amenitext hivi "this diamond guy is awesome his perfomance was epic,send me title of a song he was perfoming today"