kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,286
- 5,274
Palipo davido domo hafurukutiiiu
Ushasahau channel o awards davido alikuwepo sn ila waliogaa n diamond n Casper nyovest wote walichukua tuzo 3
Palipo davido domo hafurukutiiiu
Mbona iyo nyimbo Nana haipo kwny izi awards ilikuwa kabla
Mbona iyo nyimbo Nana haipo kwny izi awards ilikuwa kabla
Ushasahau channel o awards davido alikuwepo sn ila waliogaa n diamond n Casper nyovest wote walichukua tuzo 3
Haikuwepo ila video imeongeza kura wewe, flavour ni balaaaa kwen utumbuizaji. Mmecheat again😀😀😀😀😀
Ingekuwa nyimbo zina ongeza kura basi wiz kid anage chukua tuzo ya best male n wimbo wa ojuelegba
Inaonekana uzalendo kwa Vanessa haukufanya kazi !! Walimpgia kura dai tu au ?
V money cjui kimetokea nn maana yeye hadi wakina team wema, team kiba n mond walikuwa kwake may be ilikuwa unafiki kupost picha me idadi za kura nilizompigia vanessa n diamond zipo sawa
Wamecheat again hapa bila chenga ila teamkiba Mimi ckumpigia
Ila kiba c alimpost v money naona best collabo imenda ilipo stahili kwa aka all eyes on me hamna cha diamond wala davido
Kwahiyo diamond hakustahili best collabo ?
Kiba alimpost kwasababu Vanessa na yeye anampostig inawezekana hakupiga hata kura 1
kwani kigezo cha live act ni kip
best collobo isingeenda kwa diamond,Ile ngoma aliyoshindanishwa hawezi kushinda,ingekuwa hii nana ya sasa angeshinda,kaingizwa kwenye hiyo category kwa ngoma isiyo na mvutoKwahiyo diamond hakustahili best collabo ?
Kiba alimpost kwasababu Vanessa na yeye anampostig inawezekana hakupiga hata kura 1
best collobo isingeenda kwa diamond,Ile ngoma aliyoshindanishwa hawezi kushinda,ingekuwa hii nana ya sasa angeshinda,kaingizwa kwenye hiyo category kwa ngoma isiyo na mvuto
Kucheza cheza jukwaani
Haaaahaaaaa