Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,948
- 2,112
Davidokiba ndio nani
halafu mi nashangaa sana hawa jamaa msiwajibu waacheni kwanza wapumue mpaka tuzo ziishe msijaze page hapa nendeni kule kuna thread ya tuzo imeanzisha ila vanessa naskia kakimbia tayari hahaaa
Hii tuzo n ya best live act yaan mtumbizaji bora basi kapewa diamond 😀😀😀😀 so mtumbizaji bora Africa n Diamond
vote 4 davido!
pwilo hongera mpenz wako kabeba best femalehalafu mi nashangaa sana hawa jamaa msiwajibu waacheni kwanza wapumue mpaka tuzo ziishe msijaze page hapa nendeni kule kuna thread ya tuzo imeanzisha ila vanessa naskia kakimbia tayari hahaaa
pwilo hongera mpenz wako kabeba best female
Iyo best live davido alikuwepo?
vote 4 davido!
vote 4 davido!
Hii tuzo n ya best live act yaan mtumbizaji bora basi kapewa diamond 😀😀😀😀 so mtumbizaji bora Africa n Diamond
Hakuwepo
hiyo davido hakuwepo alikua mr flavourIyo best live davido alikuwepo?
Sema mkata viuno, mbona flavor atakoma kumbeba ona sasa kamfunika Hahhaha.
hata ye domo ilikua anajipigia promo mwenyeweInaonekana uzalendo kwa Vanessa haukufanya kazi !! Walimpgia kura dai tu au ?