Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Mtoto ana balaa huyu 👑🔥
 
Attachments

  • 1437283068381.jpg
    1437283068381.jpg
    20.1 KB · Views: 88
  • 1437283083209.jpg
    1437283083209.jpg
    23.3 KB · Views: 88
Hahahaaaaaaa ndo ivyo....
Domo ni mkata maunooo hahahaaaaa...
Kweli kamfunika kiba maana king anacheza kiume..
Sema ujue nini pigeni kura acheni mboyoyo.

unavyo jichekesha chekesha kama faLAsi flani hivi amazing.
 
Mtu anakujia juu kisa umetoa pongezi, ungekaa kimya ingekua ten mambo mengine.Sasa wataanza kumtaka Kiba atoe Pongezi. Ruttashobolwa ivi ulilala kweli waitu?

Dawa ni kuwa hater kama mimi.
Hamna cha pongezi wala mavi yake pongezi apa.
Hahahaaaa
 
Last edited by a moderator:
unavyo jichekesha chekesha kama faLAsi flani hivi amazing.

Kwendraaaa Aibuuu mlianza kulambisha watu ndimu za unenguaji kweli mmeishiwaaa.
Mwanamziki bora ni Davido..
Mzeza shoo bora ni domo.
Basi naomba ndimu nilambe maana naona aibu kinomaaa
 
Hapo looh ananenguaa kweli alistahili kupata tuzo

Kamà mbefele Usher Raymond huyu hapa au Kanye ndio level zetu kwa sasa hata Dbanj analifahamu hilo kama uliangalia press conference mtv mama
 
Eti unatoa pongezi uzalendo umeujua leo?
Kwani Simba ikishinda shabiki wa yanga hapaswi kupongeza.
Bla bla ujinga tupu.
Ndo nshapongeza kama hawataki wanifungulie thread.
Na utoto wao huu naujua ila haunipi shida.Kuna watu wanajiona kama wao ndio akina zari jamani
Tuzo dai kishabeba, haya mzalendo hongera
it's ubuyu time tuzo zmeisha tungoje msimu mwingine tena
cheeeers
 
Mtumbuizaji bora na wanamuziki bora na wimbo bora na vinginevyo vilienda kwa mfalme

Kumbe lugha ndio tatizo kwako ukibadilishiwa kidogo unakuwa miguu juu maana unacho kitolea mbovu juu ya tuzo alio pata mondi hujui kama ni category sawa na hiyo alio pata huyo mtetea tembo na nyati japo KTMA ipo kimaandaz sana, unajua unapo kuwa una jibu kila hoja humu some time unasahau nn unafanya mpaka unajikosoa mwenyewe na sijui kwann upo wewe tu au ndo kukosa kaz za kufanya na kuwa na stress za u jobless. Stop prising matters in over night situation ingia bafuni jimwagie maji labda unaweza kuwa na ufikilivu chanya juu ya yanayo kuzunguka.
 
Dawa ni kuwa hater kama mimi.
Hamna cha pongezi wala mavi yake pongezi apa.
Hahahaaaa

halafu dizain hakuna anae kuunga mkono,wenzako wana kuchora wana kuona bwegere flani hvi ila wana shindwa tu kukuambia.
 
Kumbe lugha ndio tatizo kwako ukibadilishiwa kidogo unakuwa miguu juu maana unacho kitolea mbovu juu ya tuzo alio pata mondi hujui kama ni category sawa na hiyo alio pata huyo mtetea tembo na nyati japo KTMA ipo kimaandaz sana, unajua unapo kuwa una jibu kila hoja humu some time unasahau nn unafanya mpaka unajikosoa mwenyewe na sijui kwann upo wewe tu au ndo kukosa kaz za kufanya na kuwa na stress za u jobless. Stop prising matters in over night situation ingia bafuni jimwagie maji labda unaweza kuwa na ufikilivu chanya juu ya yanayo kuzunguka.

Hahahaaaaaaaa sisomi gazeti mimi.
Mnapoteza muda kwenye magazeti badala ya kuvote.... akili kisudee
 
halafu dizain hakuna anae kuunga mkono,wenzako wana kuchora wana kuona bwegere flani hvi ila wana shindwa tu kukuambia.

Hahahaaa poyeeeee.
Nani kakuambia natafuta saport?
Hili ni jeshi la mtu mmojaa.
Na baaado
 
Tuzo dai kishabeba, haya mzalendo hongera
it's ubuyu time tuzo zmeisha tungoje msimu mwingine tena
cheeeers

Cheers.
Mweee...labda mtakuwa mnashare na sisi ubuyu.Nasikia mna kagroup kenu tu.Nimetoa pongezi jamani muwe mnaumwaga humuuu.
 
: Zamani ukiwa nje ya nchi ilikuwa shida kidogo kuelewesha mtu natokea Tanzania labda useme mt. kilimanjaro

Sikuhizi aaaaaah ICON tunae ukisema Diamondplatnumz unapigwa na bia moja watu weweeeeeeeeee hail to the king of Afropop and best performer all over the continent
 
Kamà mbefele Usher Raymond huyu hapa au Kanye ndio level zetu kwa sasa hata Dbanj analifahamu hilo kama uliangalia press conference mtv mama

hiv hapo na usher anakatika kama kaka etu hivo.. ingekuwa kuna video ndo tunge reason
 
Back
Top Bottom