Acha kupotezeaa maboyaaa...
Sema domo kapata tuzo gani?
Hahahaaaaaaaa unaniita kwenye tuzo gani ile?
Mnenguaji bora?
Last edited by a moderator:
Hehhehehe
Hii kawafanyia waliompa kura au haters waliosababisha akaambulia kamoja!!!!!!!????
Huyu dogo sjui kama huwa anajielewa sometimes.
Hii suti aliovaa diamond leo n hatari sn mnaweza nisaidia sehemu alionunua nami nikanunue
Amewafanyia waliompa kura maana wameshindwa kupigia vipengele vya maana wakampigia nyingi kwenye mnenguaji bora wa mwaka.
Amewafanyia waliompa kura maana wameshindwa kupigia vipengele vya maana wakampigia nyingi kwenye mnenguaji bora wa mwaka.
Hv zile za KTMA mtumbwizaji bora alipewa nani vile nikumbushe
Bila shaka.
Hahahaaa,tukisema dogo ni kilaza tunapigwa mawe.
Bongo raha sana mtumbuizaji bora alikiba alitumbuiza wapi na anamshinda mpaka mtumbuizaji bora wa Afrika dah
Damn, here we go again.
everybody sayin' what's not for him
everything I'm not, made me everything I am
damn, here we go again.
people talk shit, but when shit hits the fan
everything I'm not, made me everything I am
and I'm back to tear it up
haters, start your engines
I hear 'em gearin' up
people talk so much shit about me at
barbershops
they forget to get their haircut
OK fair enough, the streets is flarin' up
'cause they want gun-talk, or I don't wear
enough
Huruma
Hamkutegemea.Its time to get a haircut downstares maana mkikua overwhelmed sana maisha yenu yalisimama.
I wonder if unawapenda family yako ivi.Ushabiki Kitumbua tu
Mimi sikupiga kura kwa diamond, ila nimempongeza, majitu yamekuja juuu!
Kaah bora sikupiga maana ningekuwa najiona mjinga sana.
Was right from the beginning.
Uzalendo juu ya Afric kwanza.
Kura yangu kwa Davido haikwenda bure.
Palipo Davido Ndomo haikai.
Siku njema.
Mashavu yamewashuka mweeeeee hahahaaaaaaaa.....
Hawataki ata pongezi akyananii jana nimecheka sanaa yaaani lol...
Mnenguaji bora tuu watu wakaanza kukamua ndimuu baaada ya muda izo ndimu walizinywa bila kupendaaaa.....
Hàhahahaha sisi mbona hatumchukii kibakuli?? Kura yangu kwenye daladala awards nampa kwa moyo mweupeeeeeee.. 👍
Eti unatoa pongezi uzalendo umeujua leo?
Kwani Simba ikishinda shabiki wa yanga hapaswi kupongeza.
Bla bla ujinga tupu.
Ndo nshapongeza kama hawataki wanifungulie thread.
Na utoto wao huu naujua ila haunipi shida.Kuna watu wanajiona kama wao ndio akina zari jamani
Akina zari hahahaaaaaa watambireeee....
Walivyokuwa wanajipendekeza vote for daimond kuweni wazalendo ina maana kwenye ushindi hamna uzalendooooo.....? Urereeeeeee ata ivyo ni katuzo cha kukata mauno hivyo wanajua kabisa hastahili pongezi.