Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,410
- 82,319
Kama kawa.
Posts 0 followers 0 following 0
Tutaelewana tu na watukanaji wote!
Hahahaaaaa jamani nimecheka hapa kama nini wakati nilikua kwenye huzuni!
Kama kawa.
Posts 0 followers 0 following 0
Tutaelewana tu na watukanaji wote!
Hahahaaaa eti msiba mkubwa unakuja pande hii!
Mbona majirani mna vimuhe muhe hivyoo?! Just tulieni.....wait for the fate!
Kibaa forever
kweli .msiba unatukumba huku leo haina jinsi tujiandae kisaikolojia best live act niya mr chibu dangote
Man of the night Ã-Â-½Ã-´¥Ã-Â-½Ã-´¥Ã-Â-½Ã-´¥
Best live sio kukata mauno mkuu kama khanga moja, subiri leo kuna watu mtakimbia JF alaf mkirudi tu mtakuwa mshachelewa maana mtakutana na collabo la King na Christian bella.
Asante mkuuhatimaye umekuja karibu sana
pamoja pwilo
Miss you too darling cute b...naona uliweka mgomo wa kuingia humu.
Kama kawa.
Posts 0 followers 0 following 0
Tutaelewana tu na watukanaji wote!