mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,811
- 11,028
Best hizi siasa sijawahi kuwa nazo interested kama mwaka huu, na nimeumia mnoooo!
Acha tu mito ile siku sikulala kabisa, kama utakumbuka tetesi zilianza saa 7 basi nilikesha simu mkononi nisiamini kilichotokea.
Nahisi kurudia kuichukia tena siasa, sio kwa mambo yale kwakweli.
Yaaa presha ilikuwa inapanda na kushuka sana kwa kila mfatiliaji wa siasa, acha kabisa nifah