Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,948
- 2,112
Yap, hata mie bado naendelea.
Nimepita tu, tukutane kesho jioni Inshaallah kheri
Sawa ,usiku mwema
Yap, hata mie bado naendelea.
Nimepita tu, tukutane kesho jioni Inshaallah kheri
tumeshapoa sisi. hope ulikuwa poa sana
Sawa ,usiku mwema
Mhhhh. .honestly say nilikua poa katika suala la Imani.Ila kawaida hali ilikua tete.
Sitaki hata kukumbuka ni jinsi gani nilimmiss mtu fulani humu ndani....acha tu!
Habari yako nifah!?Mhhhh. .honestly say nilikua poa katika suala la Imani.Ila kawaida hali ilikua tete.
Sitaki hata kukumbuka ni jinsi gani nilimmiss mtu fulani humu ndani....acha tu!
Asante, nawe pia.
Maash Allah, Maash Allah!
Naam...huyu ndiye Mdakuzi wangu mimi.
Ni ukweli usio na hata chembe ya shaka na unafiki kua wewe ni Great Thinker wa ukweli.Hii post almanusra inirudishe humu kwa mara nyingine tena.
Nimejifunza mengi kutokana na hii post, kiukweli nilikua sijui kuhusu haya uliyoyaainisha hapa zaidi ya kufurahia quality ya video na ule ubunifu wake.
Ni video ya kipekee ambayo haichoshi, ila baada ya kusoma hapa huwezi amini nilienda tena You Tube na kuicheki tena kwa umakini zaidi, nilijikuta naipenda zaidi na zaidi.
#ChukuaReputationPowerYanguKirohoSafi
#MissYouThough
Habari yako nifah!?
ni changamoto tu hizo wala usijali. hope mambo yataenda poa kama kawaida. hahaha ulimiss sana jukwaa
Teh Teh..habari ni njema kabisa...Hahahaaaaa khaaa, wewe mtu sikuwezi kwa umbea.
Naona hiyo post ya hapo kati umeichanganya ili kupoteza maboya, ila posts lengwa ni hizo mbili.
Salaam haigombwi hata hivyo....
Mimi mzima kabisa sijui wewe bwana Ruttashobolwa...habari za masiku tele?
Assalaam alaikum nifah, Mungu aafiki swaumu yako. Karibu katika jukwaa, Mungu atuongoze kwa hekima.