Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Asante sana best angu mito.Hata mimi nafurahi kukuona tena hapa.
Kila kitu kilienda sawa Alhamdulillah,
Hakika Mungu ni mwema.

Pole kwa mchakato wa mgombea wa CCM naona mgombea wako hakufurukuta...teh teh

Karibu saana nifah ....
 
Last edited by a moderator:
Asante sana best angu mito.Hata mimi nafurahi kukuona tena hapa.
Kila kitu kilienda sawa Alhamdulillah,
Hakika Mungu ni mwema.

Pole kwa mchakato wa mgombea wa CCM naona mgombea wako hakufurukuta...teh teh

Nami niko poa kabisa best
Yaa mgombea wangu hakufurukuta aisee, ila hata huyu alikuwa wangu pia, japo huyu nilikuwa natamani awe PM ndo tungefaidi utendaji wake zaidi

BTW hata wako pia hakufurukuta.......teh teh teh
 
Attachments

  • 1437151847533.jpg
    1437151847533.jpg
    78.7 KB · Views: 93
Nami niko poa kabisa best
Yaa mgombea wangu hakufurukuta aisee, ila hata huyu alikuwa wangu pia, japo huyu nilikuwa natamani awe PM ndo tungefaidi utendaji wake zaidi

BTW hata wako pia hakufurukuta.......teh teh teh

Hahahaaaaa mito ujue nimecheka? Wangu ulimjuaje ilhali nilikua sijakutajia?
Wewe nae siku hizi ushakua hodari wa umbea mimi nasubiri. ..

Ila bora wangu balaa lake unaliona kuliko wako alikua kibaraka tu, tena kafa kikondoo...teh
 
Last edited by a moderator:
Hello Kiba Fans...ladies and gentlemen, nimewasije?
Napita tu jamani, tutaanza kuwa pamoja tena kama zamani soon.
#WasionipendaWajiandaeMbayaWaoAnarudi

Karibu ila kuna moderator ------ nahisi anataka nimtagie yai ndo aache kufuta comments zangu!
Soon atafanikiwa kunitoa jf ila hawezi kuyatoa mapenzi yangu kwa Kiba.
Kule kwengine ndo kwanza kumekucha na tunatoa dozi kama kawa.....sometimes I love FB!
 
Koh koh koh! Sitaki shari mieee....

Kichambo kikinizidia nitamwita serengeti boi wangu na mie aniandikie kichambo.
Sipati picha.
Eti kwani kuna mtu aliwahi kusema d ana beef na Davido??
Mbona mapashkuna yamewehuka?
As for me najua wote wasanii wetu ndio maana nina show love.
 
Back
Top Bottom